African Internet Exchange System (AXIS) Project ilikua wazo bora sana, sjui kwann haliendelei

African Internet Exchange System (AXIS) Project ilikua wazo bora sana, sjui kwann haliendelei

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Mwaka 2010, AU(African union) ilipitishiwa wazo bora sana kuanzisha miundo minu kwa ajili ya internet ya kiafrika, wazo hili lililenga afrika kujitoa kwenye makucha ya internet ya kikoloni, kwa wale ambao hawaelewi internet ya kiafrika namanisha ivi

fikiria afrika ikaanzisha mtandao mpana wa internet ambao unatuma na kupokea taarifa ndan ya afrika peke yake, inamaaniisha kwamba sasa afrika tutaunda apps and website zinazojiendesha kwa afrika tu na kuepuka cencorship kutoka nchi za nje, kwa mfano: Wakati AU inajengwa katikatika ya matofali kuliwekwa vimicrophone vidogo vya kutuma taarifa kwenda china, unaweza kusoma taarifa nzima kupitia:


japokua china walikataa lakini wao ndo walijenga hilo jengo, hivo walikua wanaskiliza maongezi yote na mipango inaofanyika, tunapokua na internet yetu basi hizii taarifa haziwezi kwenda kwa wazungu kwan mzunguko wa taarifa ni ndan ya bara
 
Labda tukiacha pia kupokea na misaada yao
 
Back
Top Bottom