πππMimi huyu namkubali sana tuπππ Victoria angekuwa Tanzania angelikuwa msanii mkubwa sana. Tatizo radio za Kenya na media zina ukabila. Tanzania hakuna Radio inayoongea lugha ya kabila fulani hata moja.
Mimi husema ukweliNi wewe Melissaaa kweli ama akaunti imehakiwa?
Punguza hizi pumba zako na chuki za kibinti binti. Media gani hizo ambazo zina ukabila? Victoria Kimani huwa anaimba kwa kutumia lugha gani? Kwasababu mimi navojua hata radio na Tv zinazorusha matangazo kwa lugha za kiasili huwa zinacheza mziki wa lugha za kiingereza na kiswahili pia.Mimi huyu namkubali sana tu Victoria angekuwa Tanzania angelikuwa msanii mkubwa sana. Tatizo radio za Kenya na media zina ukabila.Tanzania hakuna Radio inayoongea lugha ya kabila fulani hata moja.
HamjuiToo bad Kenyans don't support their own. We have talented artists.
Goodnight.
leo mapema why??, njoo DMGoodnight.
Nadhani contract ya Victoria Kimani na Chocolate City ya Nigeria ndio inamfanya asivuke hadi kwenye next level. Huko Nigeria kuna ushindani mkubwa na yeye sio mwenyeji wa Naija na pia Chocolate City haifanyi juhudi za kumpromote E.Africa. Before arudi Kenya alikuwa based in the U.S, wakenya hawamjui vizuri. The talented lady is in limbo.Too bad Kenyans don't support their own. We have talented artists.
Napozungumza jua na evidenceππππππPunguza hizi pumba zako na chuki za kibinti binti. Media gani hizo ambazo zina ukabila? Victoria Kimani huwa anaimba kwa kutumia lugha gani? Kwasababu mimi navojua hata radio na Tv zinazorusha matangazo kwa lugha za kiasili huwa zinacheza mziki wa lugha za kiingereza na kiswahili pia.
Kula hiiπππππππKukosa elimu ni kitu kibaya sana, sasa ni upuuzi gani huo umeniekea hapa juu kama ushahidi?
Muda sio mrefu nakupatia evidence kutoka kwa NyanshiskiπππππππKukosa elimu ni kitu kibaya sana, sasa ni upuuzi gani huo umeniekea hapa juu kama ushahidi kwamba Victoria Kimani anabagaliwa kwa sababu za kikabila?
Twende kaziππππππππKukosa elimu ni kitu kibaya sana, sasa ni upuuzi gani huo umeniekea hapa juu kama ushahidi kwamba Victoria Kimani anabagaliwa kwa sababu za kikabila?
I understand that the truth hurts. PoleπππππππππKukosa elimu ni kitu kibaya sana, sasa ni upuuzi gani huo umeniekea hapa juu kama ushahidi kwamba mziki wa Victoria Kimani anabaguliwa kwa sababu za kikabila?
[emoji1] [emoji1] basi mkuu hiyo dozi inawatosha. Ila bado watakuja hapa na kubisha.Kameme FM is the leading tribal radio. It is owned by Kikuyus[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]