😂😂😂😂Wakituona kimia wanazani hatuijui Kenya. Nyanshisiki mwenyewe amelalamika kuwa tatizo kuu kwenye mziki wa Kenya nikutokana na media kuwa na ukabila.[emoji1] [emoji1] basi mkuu hiyo dozi inawatosha. Ila bado watakuja hapa na kubisha.
#DG