African Nicki Minaj

[emoji1] [emoji1] basi mkuu hiyo dozi inawatosha. Ila bado watakuja hapa na kubisha.

#DG
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wakituona kimia wanazani hatuijui Kenya. Nyanshisiki mwenyewe amelalamika kuwa tatizo kuu kwenye mziki wa Kenya nikutokana na media kuwa na ukabila.
 
There is no talent in Victoria Kimani. Though it's no wonder to succeed in music even if an artist isn't talented.
If you critisize her talent by looking at her success then you are wrong.
Because you don't know her
 
Huyu mwanamziki simuelewagi kabisa uzungu mwingi halafu anaimba nonsense ,kwanini asijifunze kwa wenzake akina Vanessa japo naye ni kinara wa kukaa uchi!
Sema kiingereza ndo huelewi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ameku-quote Mara ngapi? Nimecheka sana wallahi. Hata ukiangalia nyuzi hizo zingine ni hivyo tu. Ameshindia hiyo kazi leo
Nimeingia Jf baada ya masaa kadhaa nikapigwa na butwaa. Hahaha! [emoji1] Usijaribu kushindana na mwendawazimu, dish lako pia linaweza likayumba in the process. [emoji23]
 
Nimeingia Jf baada ya masaa kadhaa nikapigwa na butwaa. Hahaha! [emoji1] Usijaribu kushindana na mwendawazimu, dish lako pia linaweza likayumba in the process. [emoji23]
Said a jealous bongolala.
Inanishangaza sana mnatumia muda mwingi kumtetea sugar mummy wenu Viki kimani!
Acheni unafiki ninyi wenyewe mnajua huyu Dada anaimba ujinga
 
Inanishangaza sana mnatumia muda mwingi kumtetea sugar mummy wenu Viki kimani?
Acheni unafiki ninyi wenyewe mnajua huyu Dada anaimba ujinga
Are you we? Are we you? We are you? You are us?
 
Kimani is international, check her song #China love
Yep China Love ni jam kali. Bila kumsahau international star mwingine pia, dada yetu STL, Stella Mwangi, anashinda tuzo kila uchao kule Europe. Niliipenda sana hii funky jam yake ya zamani kidogo, Ft. Mohambi, I like the way she goes..... inabembea, itabembea wee! ....and my favorite of all time. Take it back.
 
Inanishangaza sana mnatumia muda mwingi kumtetea sugar mummy wenu Viki kimani!
Acheni unafiki ninyi wenyewe mnajua huyu Dada anaimba ujinga
Unajua Choclate City ya Nigeria, ambayo inarecord nyimbo za Victoria Kimani, imesign wasanii wa sampuli gani? Fanya risechi yako. Sio lazima upendezwe na mziki wake, ila acha wivu wa kike, Victoria Kimani is an international star, very talented. Wewe komalia na ushamba wako kwenye singeli. Check out China Love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ