African Satellite World and Sat Gear

African Satellite World and Sat Gear

Broo namaana pale kwenye tv naambiwa nitumie satelite dish kupata chanel nachouliza nikafunga huili dish naeza pata chanel husika kwa kutumia kisimbuzi cha ndani ya tv nikitumia hili dish kaka. Samahani lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna usikonde Dish lazima ununue kitu ambacho unatakiwa ujue hivi visimbuzi tunavyotumia vina program za kufungua channel ambazo hazifunguki kwa utaratibu wa kawaida. Ndio maana hapa unaona watu wanabadilishana uzoefu.

Kwa kisimbusi ndani ya TV inabidi ujaribu sababu TV ziko aina nyingi sana na kila moja ina chake nyingine haina . Mfano mimi nina TCL 55" Kisimbusi chake hakikamati hizo RT. lakini nimefunga dish nimeweka kingamuzi napata channel.

Zile Freq alizokugea jamaa unapata channel nyingi sio RT na Peace TV peke yake.

Kwani sasa hivi unatumia nini ?

Mkuu natumia dstv tu na haina hizi chanel. Mkuu hiho kisimbuzi chako cha nje ni aina gani na ni shilingi ngapi

Ahaa kumbe una mpunga wa kutosha mfukoni unanua DSTV.

0764453848

Kama upo DAR mpigie huyo fundi. Hata kama haupo hapa atakuelewesha, yupo vizuri nishafanya nae kazi.

Wakati fundi anafanya kazi na wewe jifunzr ama sivyo utakuwa unauliza kila siku.

Ukifanikiwa leta mrejesho ndio spirit ya hapa site hii kupieana shavu haijalishi uko wapi duniani.

Haha broo mbona dstv ishakua ya kila mtu siku hizi.
Ila ntanunua dish la pembeni. Nimeambiwa haka kakisimbuzi kangu hakawezi kuopt nje ya chanel zile za dstv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There are some goodies like 1HD we don't manage.
1hd from my end looks strong the only weak one is 12sd on 11059v13750 the other 1's even 4K one dances around 80 in the morning but in the evening they drop to around 72. The only tp i dont have is 10842v30000 for y*z hd is it still kiking???

What's your location and dish size?

Sent from my SM-A305F using Tapatalk
 
Today finally I motorized my 135 offset now able to sweep from 8west to 7east
IMG_20191221_143326.jpeg
IMG_20191221_143326.jpeg

Nilesats 7w,Eutelsat 7A 7.3w,Eutelsat 8w, SES 5 5e,Eutelsat 7e ,Amos 4w,Abs 3w on 135cm offset motorized
 
Macha na Voi Satbeam wise how far is it .... tunastrugle kupata 4WD

Sent from my iPhone using JamiiForums
It also threw some blows to me until i consulted Giden. I landed on 3w using 10970 as my tracking tp and i thought i had arrived on scanning i got different channels, the hard task on this sat is to lock it. You can use metv to locate the sat once you lock it go for y*s sd and increase the signal, once you maximize the signal 10970 for this sat will popup automatically. Shida ni kukinyesha everything goes off only y*s sd dances at 52%. Last thing stargold fuji does wonders on this sat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amosi unapata ol the goodies ??

Sent from my iPhone using JamiiForums
11553 V 27500
11501 V 13750
11501 V 13750
11474 V 27500
11030 V 27500
This are the tps am getting total of 75 channels including some free to air

Nilesats 7w,Eutelsat 7A 7.3w,Eutelsat 8w, SES 5 5e,Eutelsat 7e ,Amos 4w,Abs 3w on 135cm offset motorized
 
There are some goodies like 1HD we don't manage.
1hd from my end looks strong the only weak one is 12sd on 11059v13750 the other 1's even 4K one dances around 80 in the morning but in the evening they drop to around 72. The only tp i dont have is 10842v30000 for y*z hd is it still kiking???

Sent using Jamii Forums mobile app

1 or One HD is easier to nab it with 6ft pf.
GIDEN meant 1Sp***t HD on 3 MiddleEast beam
 
Back
Top Bottom