Same as Dstv dish size, i do not recommend the even smaller one used by ZUKU. Not good for rainy season.which lowest dish size to nab 7w in D'salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same as Dstv dish size, i do not recommend the even smaller one used by ZUKU. Not good for rainy season.which lowest dish size to nab 7w in D'salaam
Hamna usikonde Dish lazima ununue kitu ambacho unatakiwa ujue hivi visimbuzi tunavyotumia vina program za kufungua channel ambazo hazifunguki kwa utaratibu wa kawaida. Ndio maana hapa unaona watu wanabadilishana uzoefu.Broo namaana pale kwenye tv naambiwa nitumie satelite dish kupata chanel nachouliza nikafunga huili dish naeza pata chanel husika kwa kutumia kisimbuzi cha ndani ya tv nikitumia hili dish kaka. Samahani lakini.
Sent using Jamii Forums mobile app
sure?any fundi to set for me?Same as Dstv dish size, i do not recommend the even smaller one used by ZUKU. Not good for rainy season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu natumia dstv tu na haina hizi chanel. Mkuu hiho kisimbuzi chako cha nje ni aina gani na ni shilingi ngapiHamna usikonde Dish lazima ununue kitu ambacho unatakiwa ujue hivi visimbuzi tunavyotumia vina program za kufungua channel ambazo hazifunguki kwa utaratibu wa kawaida. Ndio maana hapa unaona watu wanabadilishana uzoefu.
Kwa kisimbusi ndani ya TV inabidi ujaribu sababu TV ziko aina nyingi sana na kila moja ina chake nyingine haina . Mfano mimi nina TCL 55" Kisimbusi chake hakikamati hizo RT. lakini nimefunga dish nimeweka kingamuzi napata channel.
Zile Freq alizokugea jamaa unapata channel nyingi sio RT na Peace TV peke yake.
Kwani sasa hivi unatumia nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa kumbe una mpunga wa kutosha mfukoni unanua DSTV.Mkuu natumia dstv tu na haina hizi chanel. Mkuu hiho kisimbuzi chako cha nje ni aina gani na ni shilingi ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha broo mbona dstv ishakua ya kila mtu siku hizi.Ahaa kumbe una mpunga wa kutosha mfukoni unanua DSTV.
0764453848
Kama upo DAR mpigie huyo fundi. Hata kama haupo hapa atakuelewesha, yupo vizuri nishafanya nae kazi.
Wakati fundi anafanya kazi na wewe jifunzr ama sivyo utakuwa unauliza kila siku.
Ukifanikiwa leta mrejesho ndio spirit ya hapa site hii kupieana shavu haijalishi uko wapi duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
1hd from my end looks strong the only weak one is 12sd on 11059v13750 the other 1's even 4K one dances around 80 in the morning but in the evening they drop to around 72. The only tp i dont have is 10842v30000 for y*z hd is it still kiking???There are some goodies like 1HD we don't manage.
What's your location and dish size?1hd from my end looks strong the only weak one is 12sd on 11059v13750 the other 1's even 4K one dances around 80 in the morning but in the evening they drop to around 72. The only tp i dont have is 10842v30000 for y*z hd is it still kiking???
Sent using Jamii Forums mobile app
Machakos 6ft pf but they are not worth the hustle the only one which opens is the one on 10970What's your location and dish size?
Sent from my SM-A305F using Tapatalk
Machakos 6ft pf but they are not worth the hustle the only one which opens is the one on 10970
Sent using Jamii Forums mobile app
It also threw some blows to me until i consulted Giden. I landed on 3w using 10970 as my tracking tp and i thought i had arrived on scanning i got different channels, the hard task on this sat is to lock it. You can use metv to locate the sat once you lock it go for y*s sd and increase the signal, once you maximize the signal 10970 for this sat will popup automatically. Shida ni kukinyesha everything goes off only y*s sd dances at 52%. Last thing stargold fuji does wonders on this sat.Macha na Voi Satbeam wise how far is it .... tunastrugle kupata 4WD
Sent from my iPhone using JamiiForums
Today finally I motorized my 135 offset now able to sweep from 8west to 7eastView attachment 1299320View attachment 1299324
Nilesats 7w,Eutelsat 7A 7.3w,Eutelsat 8w, SES 5 5e,Eutelsat 7e ,Amos 4w,Abs 3w on 135cm offset motorized
11553 V 27500Amosi unapata ol the goodies ??
Sent from my iPhone using JamiiForums
There are some goodies like 1HD we don't manage.
1hd from my end looks strong the only weak one is 12sd on 11059v13750 the other 1's even 4K one dances around 80 in the morning but in the evening they drop to around 72. The only tp i dont have is 10842v30000 for y*z hd is it still kiking???
Sent using Jamii Forums mobile app
That one is on 10842 the only tp am missing vicwa do you have it?1 or One HD is easier to nab it with 6ft pf.
GIDEN meant 1Sp***t HD on 3 MiddleEast beam
No, I don't have it, only 1sp**t SD on 11057VThat one is on 10842 the only tp am missing vicwa do you have it?
Sent using Jamii Forums mobile app