Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Derby maanake nn? Hizi sio derby?
1. MTIBWA v POLISI MORO
2. AZAM v SIMBA
3. AZAM v YANGA
Tunazungumzia timu ambazo zina upinzani mkali,
kwa mfano, LIVERPOOL VS EVERTON, ARSENAL VS TOTTENHAM.
Hakuna Derby hapo, issue siyo kutoka mji mmoja tu bali uwepo wa UPINZANI MKALI, Hadi sasa Azam hana mechi yenye sifa ya kuitwa Derby.
Upinzani mkali ndio upi? Yanga na Azam hazina upinzani mkali?
Kwa mnyama subirini kipigo tu, sisi dhamira yetu ni kuchukua ubingwa na sio kubaki ligi kuu kama timu yenu.Tunabaki Sasa ni kitu kimoja jumamosi tumemkalisha mgambo 4, Jumapili tunamsubiri mnyama tunajihakikishia point zetu 3
Tunazungumzia timu ambazo zina upinzani mkali,
kwa mfano, LIVERPOOL VS EVERTON, ARSENAL VS TOTTENHAM.
Hiyo Mwadui.imejaaa magalasa wa zamani wa Simba na maswahiba wa Julio...hawana lolote watakalo changia kwenye Timu ya taifa..wachezaji wengi ni above 30 yrs
ila majungu ya wazee WA majengo uswazi yaishe manake majungu hayo yalituchelewesha kupanda daraja kwa timu kama orjino busanda ,ammunition, fanta enzi hizo
Kocha mkuu Yuko ni mganda na msaidizi kabaki Yule alietoka Toto tatizo lilianza SIKU nyingi... Kila Kocha ana wachezaji, Tangia mechi ya Kwanza na Ndanda lilionekana tu kawambia, Fulani na fulani TATIZO Hao Hao wakatujibu ni wivu tumegombea mademu!! Wamesimamishwa wachezaji 3, ila Mobi wangemuacha jumapili Acheze lazima atawazuia Simba coz hawapendikwa nini imefanya hivyo katikati ya msimu na kocha ni nani sa'hivi???
kwa hiyo kocha wamefukuza yule wa mwanzo na timu inamilikiwa na nani sa'hivi???
Kwa mnyama subirini kipigo tu, sisi dhamira yetu ni kuchukua ubingwa na sio kubaki ligi kuu kama timu yenu.
Mungu bariki mwadui fc, mungu bariki stand utd, mungu bariki toto africans, mola ya seba..!!