African Sports, Mwadui kucheza fainali Jumapili

African Sports, Mwadui kucheza fainali Jumapili

Tunazungumzia timu ambazo zina upinzani mkali,
kwa mfano, LIVERPOOL VS EVERTON, ARSENAL VS TOTTENHAM.
 
Tunazungumzia timu ambazo zina upinzani mkali,
kwa mfano, LIVERPOOL VS EVERTON, ARSENAL VS TOTTENHAM.

Kwa hiyo CHELSEA v TOTTENHAM, CHELSEA v WEST HAM, hizi sio LONDON DERBY?
 
Hakuna Derby hapo, issue siyo kutoka mji mmoja tu bali uwepo wa UPINZANI MKALI, Hadi sasa Azam hana mechi yenye sifa ya kuitwa Derby.

Upinzani mkali ndio upi? Yanga na Azam hazina upinzani mkali?
 
Tunabaki Sasa ni kitu kimoja jumamosi tumemkalisha mgambo 4, Jumapili tunamsubiri mnyama tunajihakikishia point zetu 3
Kwa mnyama subirini kipigo tu, sisi dhamira yetu ni kuchukua ubingwa na sio kubaki ligi kuu kama timu yenu.
 
Hiyo Mwadui.imejaaa magalasa wa zamani wa Simba na maswahiba wa Julio...hawana lolote watakalo changia kwenye Timu ya taifa..wachezaji wengi ni above 30 yrs
 
Hiyo Mwadui.imejaaa magalasa wa zamani wa Simba na maswahiba wa Julio...hawana lolote watakalo changia kwenye Timu ya taifa..wachezaji wengi ni above 30 yrs

Timu yako yenye under25 players imetoa mchango gani ,national team
 
ila majungu ya wazee WA majengo uswazi yaishe manake majungu hayo yalituchelewesha kupanda daraja kwa timu kama orjino busanda ,ammunition, fanta enzi hizo
 
ila majungu ya wazee WA majengo uswazi yaishe manake majungu hayo yalituchelewesha kupanda daraja kwa timu kama orjino busanda ,ammunition, fanta enzi hizo

Kuwa spefic majungu yapi? Solution Ni kuwaweka mbali na timu ndo mana Stand imempiga chini Muhibu na Kocha Masawe, pia na baadhi ya wachezaji KAMA fundi Iddy Mobi Kiraka...... Pia SHIDEFA ni wapiga majungu wazuri tu!
 
kwa nini imefanya hivyo katikati ya msimu na kocha ni nani sa'hivi???
Kocha mkuu Yuko ni mganda na msaidizi kabaki Yule alietoka Toto tatizo lilianza SIKU nyingi... Kila Kocha ana wachezaji, Tangia mechi ya Kwanza na Ndanda lilionekana tu kawambia, Fulani na fulani TATIZO Hao Hao wakatujibu ni wivu tumegombea mademu!! Wamesimamishwa wachezaji 3, ila Mobi wangemuacha jumapili Acheze lazima atawazuia Simba coz hawapendi
 
kwa hiyo kocha wamefukuza yule wa mwanzo na timu inamilikiwa na nani sa'hivi???

Timu iko chini ya uongozi ule ule, tatizo ni Kuwa baadhi ya VIONGOZI na wadau walikuwa wanatumia baadhi ya wachezaji kunderperfom au kuhujumu wakiwa na Lengo la kukomoa baadhi ya viongozi na makocha au kulinda maslahi ya timu ZAO pendwa.

hawa wachezaji wamefungiwa sababu walikataa kucheza mechi na mgambo JKT.

Migogoro ni sababu Watu hawataki kuambiwa ukweli! Massawe bonge la kocha ila na yeye kaendekeza makundi na majungu. Kwangu alipoteza thamani baada ya kutukimbia na baadhi ya wachezaji na kwenda Mwadui. AFU tukapanda akarudi kocha msaidizi na yeye akaja na wachezaji wake toka Toto, waliona dishy timu wengine viwango vipo wakaachwa kimagumashi, hili wadau hawakulipenda.

Ili upate chance mchezaji lazima uwe na side na hili SIO SAHIHI, na Bado Huyo Mganda Yuko insecure anaehisi kuhujumiwa tu KILA saa! Na uongozi umemletea kocha wa makipa mganda! SI tunaangalia tunasubiri tutawachapa bakora msimu huu!!
 
22. February 2015

TANZANIA FIRST DIVISION LEAGUE

WATCH LIVE MATCH starting at 16:00 HRS EAT from CHAMAZI COMPLEX DAR-ES- SALAAM, TANZANIA.

AFRICAN SPORTS FC VS MWADUI FC : LIVE ON AZAM TV2 and online click here AZAM TV : AZAM Media Flash Page
 
Kwa mnyama subirini kipigo tu, sisi dhamira yetu ni kuchukua ubingwa na sio kubaki ligi kuu kama timu yenu.

Nilisema tumempiga mgambo, mnyama hachomoki ukabisha! AU nikwambie na Kagera Sugar mechi inayofata tunafanya Je!! Hii ndio Stand Utd CHAMA la Wana..
cc Makoye Matale
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom