cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 24, 2023 #41 Katkit said: Ukiambiwa timu yako ni kubwa Africa na hapo juu haipo jua kabisa unatapeliwa, unadanganywa, hao ni matapeli, wezi waogope. PUMBAAAV! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katkit said: Ukiambiwa timu yako ni kubwa Africa na hapo juu haipo jua kabisa unatapeliwa, unadanganywa, hao ni matapeli, wezi waogope. PUMBAAAV! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 24, 2023 #42 Bila bila said: Kuna kitu nimekiona Motsepe na CAF ni wajanja Sana. Kila la kheri washiriki. Click to expand... Kitu ganii hebu kisemeee, kuwa waziii acha kujivungaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila bila said: Kuna kitu nimekiona Motsepe na CAF ni wajanja Sana. Kila la kheri washiriki. Click to expand... Kitu ganii hebu kisemeee, kuwa waziii acha kujivungaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jun 24, 2023 #43 cocastic said: Kitu ganii hebu kisemeee, kuwa waziii acha kujivungaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Wewe hujakiona Mkuu?
cocastic said: Kitu ganii hebu kisemeee, kuwa waziii acha kujivungaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Wewe hujakiona Mkuu?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 24, 2023 #44 Bila bila said: Wewe hujakiona Mkuu? Click to expand... Tetesi ya kwamba kutakua na team 1 itaalokwa ya kuvutia wawekezaji? Au kipi?? Kisemee bhanaa mkuu, kuwa huruu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila bila said: Wewe hujakiona Mkuu? Click to expand... Tetesi ya kwamba kutakua na team 1 itaalokwa ya kuvutia wawekezaji? Au kipi?? Kisemee bhanaa mkuu, kuwa huruu [emoji23][emoji23][emoji23]
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 Jun 24, 2023 #45 cocastic said: Tetesi ya kwamba kutakua na team 1 itaalokwa ya kuawekezaji? Au kipi?? Click to expand... Hajasema kutakuwa na jina jipya kwa maana ya timu, ni jina la hyo michuano. Utopolo waendelee tu na kombe lao la medali.
cocastic said: Tetesi ya kwamba kutakua na team 1 itaalokwa ya kuawekezaji? Au kipi?? Click to expand... Hajasema kutakuwa na jina jipya kwa maana ya timu, ni jina la hyo michuano. Utopolo waendelee tu na kombe lao la medali.