cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiambiwa timu yako ni kubwa Africa na hapo juu haipo jua kabisa unatapeliwa, unadanganywa, hao ni matapeli, wezi waogope. PUMBAAAV!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiambiwa timu yako ni kubwa Africa na hapo juu haipo jua kabisa unatapeliwa, unadanganywa, hao ni matapeli, wezi waogope. PUMBAAAV!
Kitu ganii hebu kisemeee, kuwa waziii acha kujivungaaaaKuna kitu nimekiona Motsepe na CAF ni wajanja Sana. Kila la kheri washiriki.
Wewe hujakiona Mkuu?Kitu ganii hebu kisemeee, kuwa waziii acha kujivungaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tetesi ya kwamba kutakua na team 1 itaalokwa ya kuvutia wawekezaji? Au kipi??Wewe hujakiona Mkuu?
Hajasema kutakuwa na jina jipya kwa maana ya timu, ni jina la hyo michuano. Utopolo waendelee tu na kombe lao la medali.Tetesi ya kwamba kutakua na team 1 itaalokwa ya kuawekezaji? Au kipi??