African Super League inaanza October

African Super League inaanza October

Ukiambiwa timu yako ni kubwa Africa na hapo juu haipo jua kabisa unatapeliwa, unadanganywa, hao ni matapeli, wezi waogope. PUMBAAAV!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kitu nimekiona Motsepe na CAF ni wajanja Sana. Kila la kheri washiriki.
Kitu ganii hebu kisemeee, kuwa waziii acha kujivungaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tetesi ya kwamba kutakua na team 1 itaalokwa ya kuawekezaji? Au kipi??
Hajasema kutakuwa na jina jipya kwa maana ya timu, ni jina la hyo michuano. Utopolo waendelee tu na kombe lao la medali.
 
Back
Top Bottom