Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Duh,mkuu ebu fafanuaTunataka mrejesho wa FIFA kuhusu upangaji wa matokeo wa mechi ya SIMBA na SINGIDA BS.
Ni bilioni 5 za Zimbabwe!Vijana wa Rage wanajitapa ni bilioni 5 eti!!
Yanga mlicheza mechi ngapi kupata 2bil?Nilitaka kushangaa. Mzungu atoe Bilioni 5 kwa kucheza mechi moja tu.....
Kwani mnashiriki ili mpate bilioni 2 au mtwae Kombe..?Yanga mlicheza mechi ngapi kupata 2bil?
VyoteKwani mnashiriki ili mpate bilioni 2 au mtwae Kombe..?
Vijana wa luc hata mil 5 hawapatiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana wa Rage wanajitapa ni bilioni 5 eti!!
Mbumbumbu katika ubora wako.Vijana wa luc hata mil 5 hawapatiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utopolooo unatesekq ukiwa wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbumbumbu katika ubora wako.
Kazi kweli kweli...Ligi watacheza wengine kabisa.Cha ajabu,wanaokereka ni "Asas ya Djibouti"!🤔
Kwenye msafara wa Mamba kenge pia huwa wapo!Wanaume wanacheza African League vibinti vinacheza singeli.FIFA wamebainisha kwamba hizi timu 8 ndio vigogo vya mpira wa miguu Afrika halafu vinuka mikojo vinakuja na stori zao za vikao vya kahawa. Prize money ilishatangazwa.Hutaki kanunue kamba kwa Mangi ujitundike au ngojea ligi ya losers huenda ikachezwa baada ya mashindano haya ya wanaume.