African super league ni bonanza la 1.7bil sio 5 bil as thought

African super league ni bonanza la 1.7bil sio 5 bil as thought

Mtaongea yote lakini haiondoi ukweli kwenye vigezo ulivyovitaja mwiko nyuma hampo.Mpo sawa tu na Ihefu na Tabora United.Na ndio hali halisi.Kapokeeni wageni.
Simba imemshinda Zamalek vigezo vipi kwa mfano.
Au Raja Casablanca na Simba, kuna kigezo gani Simba imemshinda Raja.
 
Wanaume wanacheza African League vibinti vinacheza singeli.FIFA wamebainisha kwamba hizi timu 8 ndio vigogo vya mpira wa miguu Afrika halafu vinuka mikojo vinakuja na stori zao za vikao vya kahawa. Prize money ilishatangazwa.Hutaki kanunue kamba kwa Mangi ujitundike au ngojea ligi ya losers huenda ikachezwa baada ya mashindano haya ya wanaume.
FIFA refuse to put money on the African league. it has no sponsors or broadcaster. CAF are own there own. and they cancelled confederation extra matches this year for this.
 
Simba imemshinda Zamalek vigezo vipi kwa mfano.
Au Raja Casablanca na Simba, kuna kigezo gani Simba imemshinda Raja.
they are trying to sell the competition to the fans. I think it will fail in 3 years top. or change the rules
 
Simba imemshinda Zamalek vigezo vipi kwa mfano.
Au Raja Casablanca na Simba, kuna kigezo gani Simba imemshinda Raja.
Jamaa umepandwa na jazba haswa.Mbona hutaji timu yako mwiko nyuma haipo hapo kwa vigezo gani?Au ndio kukiri kwamba Simba unapoilinganisha na Zamalek na Raja kwamba hicho kitimu chako hakipo kwenye hesabu?
Umewasikia Zamalek na Raja wakilalamika?
 
Tunataka mrejesho wa FIFA kuhusu upangaji wa matokeo wa mechi ya SIMBA na SINGIDA BS.
I did. na report was sent to tff. they joined ventures with pccb. habari was all over. trying to tell people not to report to higher authority on football corruption.
 
Utopolooo unatesekq ukiwa wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mjiandae kuwapokea Al ahly airport. Ndo mnachokiweza nyie.
Punguzeni hofu. Ingawa natambua fika mnaenda kulidhalilisha Taifa kwa kupigwa nje ndani.
 
Kwenye msafara wa Mamba kenge pia huwa wapo!

Vigezo vilivyotumika ni vingi sio uwezo pekee Bali timu zenye promo, umaarufu, makombe, etc ndo maana TP Mazembe iliyopigwa na Yanga nao wamo!

Simba inapaswa kujisifia kupata pesa ya kushiriki!
mostly fame trying to sell the competition. it's a bad investment. the rules are champions league rules which is stupid
 
Jamaa umepandwa na jazba haswa.Mbona hutaji timu yako mwiko nyuma haipo hapo kwa vigezo gani?Au ndio kukiri kwamba Simba unapoilinganisha na Zamalek na Raja kwamba hicho kitimu chako hakipo kwenye hesabu?
Umewasikia Zamalek na Raja wakilalamika?
We umewasikia Yanga wakilalamika?
Washabiki ndio wanalalamika. jibu swali, wamewazidi kigezo gani? Taja hicho kigezo.
 
We umewasikia Yanga wakilalamika?
Washabiki ndio wanalalamika. jibu swali, wamewazidi kigezo gani? Taja hicho kigezo.
Kwa hiyo wewe unayelalamika hapa ni mpenzi wa Raja au Zamalek?Wameingia robo fainali ya Champions League mara 3 ndani ya miaka 5.
 
Kwa hiyo wewe unayelalamika hapa ni mpenzi wa Raja au Zamalek?Wameingia robo fainali ya Champions League mara 3 ndani ya miaka 5.Mashabiki sio ndio timu yenyewe au Yanga ni Hersi.Ndio upeo wako wa kufikiri unaishia hapo?
 
Kwa hiyo wewe unayelalamika hapa ni mpenzi wa Raja au Zamalek?Wameingia robo fainali ya Champions League mara 3 ndani ya miaka 5.
Raja kaingia mara ngapi?
 
Raja kaingia mara ngapi?
Ndani ya miaka 5?Njoo na jibu wacha kuuliza swali unapotajiwa kigezo.Zamalek naona umemtoa.Fanya utafiti wa Raja sasa.Kuingia makundi ya Champions League sio lelemama kuna kitimu kinaendelea kusota kwa miaka 25 tokea 1998 hakijaingia hata makundi ya Champions League. Na mashabiki wake wanalalama. Ingieni kwenye ligi za wakubwa ndio mfunguwe mdomo.
 
Mara 3 Raja kaingia, tafuta kigezo kingine
 
We umewasikia Yanga wakilalamika?
Washabiki ndio wanalalamika. jibu swali, wamewazidi kigezo gani? Taja hicho kigezo.
Simba imewekwa Pot 2 meaning ni underdog! Walichofanya ni kuchanganya timu Kali na mbovu ligi inoge , wanaojua boli Al Ahly wawakande vibonde Simba goli za kutosha!!

Ili michuano inoge wameamua kusambaza Upendo kwa kuweka timu yenye mdomo zaidi bila uwezo wowote kimpira kutoka karibu Kila upande wa Africa ndio maana TP Mazembe ambayo imeshuka kiwango ikadundwa na Yanga nayo imo, Simba timu yenye promo zaidi duniani haina kombe lolote misimu miwili mfululizo ila wamo, tukumbuke mbao ya Simba sio kombe ( ngao ya jamii)!

Vigezo ni vingi, timu yenye mdomo,timu yenye promo, timu yenye mashabiki wenye kelele na hamasa,timu zinazojua mpira, timu zilizowahi kubeba makombe, timu zenye viongozi CAF, timu kutoka kila ukanda, timu mbovu zenye mabeki waliochoka na kutoitwa timu za Taifa ziende zikafungwe wababe wasifiwe ( msafara wa Mamba), nk

Simba itaonekana panapovuja!
 
Simba imewekwa Pot 2 meaning ni underdog! Walichofanya ni kuchanganya timu Kali na mbovu ligi inoge , wanaojua wawakande vibonde goli za kutosha!!

Ili michuano inoge wameamua kusambaza Upendo kwa kuweka timu yenye mdomo zaidi bila uwezo wowote kimpira kutoka karibu Kila upande wa Africa ndio maana TP Mazembe ambayo imeshuka kiwango ikadundwa na Yanga nayo imo, Simba timu yenye promo zaidi duniani haina kombe lolote misimu miwili mfululizo ila wamo, tukumbuke mbao ya Simba sio kombe ( ngao ya jamii)!

Simba itaonekana panapovuja!
Kama timu zingekuwa zinapangwa kwa promo nyie si ndio mabingwa wa mdomo na vikombe mbona mmeanza raundi ya awali?Au hiyo pia ni promo?Tofauti yenu na Ihefu ni nini?Seeding hapo zipo mbili wewe ulitaka ratiba ipangwe vipi?Umeshajitayarisha kupokea wageni?
 
Raha ya mwanaYanga ni Simba kukandwa na mji kitulia, maana boda boda wengi ni vijana na wanaSimba na wanasumbua sana mjini na mavuvuzela Simba ikishinda mavuvuzela yanahamia mitaani!

Kupokea na kukarimu wageni ni jadi yetu maana wanatuletea pesa hotel na madukani mjini!

Simba mjiandae kwa kipigo Cha mbwa Koko 7-0 msijesema hatukuwaonya!
 
Hizo hadithi tumezizoea.Kushangilia wageni ni jadi yenu.Al Ahly hajawahi kuifunga Simba kwenye ardhi ya nyumbani.Kafungwa mechi zote 3.Safari hii hakuna kitakachobadilika Kinachonifurahisha mabinti wanabaki kushangilia wageni huku wanaume wakicheza mpira.Kijana lazima aishangilie Simba. Utashangilia timu mara ya mwisho kuingia makundi ya Champions League ni 1998.Wengi walikuwa hawajazaliwa au wadogo sana.Timu waliyoishuhudia wakikua ni Lunyasi.
 
Simba imemshinda Zamalek vigezo vipi kwa mfano.
Au Raja Casablanca na Simba, kuna kigezo gani Simba imemshinda Raja.
Waulize FIFA na CAF walioona ukubwa wa Simba na sio wa Zamalek.
 
Waulize FIFA na CAF walioona ukubwa wa Simba na sio wa Zamalek.
Nimepata taarifa mwiko nyuma wamekata rufaa wakilalamikia kutukuwepo kwa Raja na Zamalek.Ajabu hawalalamikii kwanini wao hawapo?
 
Back
Top Bottom