African super league ni bonanza la 1.7bil sio 5 bil as thought

Simba iliwekwa kubalance mzani angalao kuwe na timu moja inayotoka afrika mashariki na kati lakini uwezi kusema ni kigogo wakati hajawai kucheza hata semis ya champions league. Kuna timu kama zamalek, raja casablanca n.k hazipo na zimemzidi simba kwa kila kigezo.
 
Kubalance mizani ni wazo lako.Kwa hiyo unakubali kwamba Simba ndio mbabe wa Afrika Mashariki na Kati.Wapenzi wa mwiko nyuma mtaelewa tu.
 
Lakini watafaidika japo kiduchu kusajilo wachezaji, Zawadi na kutambuliwa na CAF & FIFAšŸ˜€
 
Simba imemshinda Zamalek vigezo vipi kwa mfano.
Au Raja Casablanca na Simba, kuna kigezo gani Simba imemshinda Raja.

Muwe mnasoma basi kuelewa vigezo vinavyotumika.

Hizi smart phone zenu mnatumia kupigia picha tu. Haya hukufuatilia nyuma trh 29 . 8. 2023 Caf wametoa barua nayo hukusoma upate uelewe?

Kukusaidia tu, walitazama vilabu kwa ubora kutoka kila kanda ya Afrika.

Sasa hao raja & zamaleki wapo kanda moja na Wydad na Alhy. Ulitarajia nini kitokee?

Tumia simu yako vizuri… utopolo weee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Tui
Wivu wa kishoga unaua sana vijana wa kitz
 
Reactions: Tui
Unaumia eenh. Endelea kuteseka dada
 
Ila utopwix [emoji1787]
Yaan super league (AFL) imekuwa bonanza
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…