Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Nakubaliana na wewe kuwa tunahitaji umeme. Nilikuwa napenda tuchambue kisayansi huu mradiKwani Maji yakishazunguza mtambo si yanaendelea kutiririka yanakoenda au hujawai ona jinsi umeme wa Maji unategwa Anko?? Hao hawataki tujenge wana visababu vyao vya kikoloni BT u know wat tz is no longer colonized so tunafanya tunachojisikia.period na hakuna wa kutusimamisha this is our country
1. Wanasema upembuzi yakinifu ulifanyaka miaka 25 iliyopita na huenda uwezo wa mto rufiji kuzalisha umeme umeshapungua kwa 25%
2. Wanasema huenda tukakosa pesa ya kumaliza mradi kwa maana wafadhili wamegoma.
3. Wanasema gharama kubwa ya mradi huenda kukawa hakuna tija mbeleni
4. Wanasema kingo za mto ambapo viboko na mamba hukaa zitapotea
5. Wanasema yale maji yakihifadhiwa katiak bwawa la kuzalisha umeme yatasababisha delta ya mto rufiji kukauka na kusabisha vifo vya mimea na wanyama
Ningependa majibu ya hizi hoja kisayansi