Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 2,962
- 7,856
Yes ...hicho pia ndo nnachoona ni changamoto...East Africa imekuwa ikipata drought cycles kila baada ya miaka minane mpka 10...hii inaweza ikafanya mabwabwa kuzailisha umeme kidogo sana..hili kusema kweli na kubaliana nalo..na sijui linatatuliwaje...Asante kwa hoja nzuri.Huu ni mradi wa matriolioni ya shilingi.Ni vema kujiridhisha kabla.
Je ni kweli kuwa kuna upembuzi yakinifu mpya uliofanyika siku za karibuni?
Je ile gesi tuliyoipata Mtwara imeishia wapi?
Je kuna athari gani za mazingira na wanyama? Ikumbukwe kuwa selous ni preserved habitat.Hifadhi zote zinazo tambulika na Unesco zinalindwa na sheria tulizo ziridhia.
Hoja yao si kuto kuwepo na demand bali ni uwezo wa Mto Rufuji kupungua na hivyo huenda mradi usiwe na tija kuzingatia gharama yake kubwa.
Kama kweli ni 3% ya eneo la stigler..binafsi naona sio mbaya
Kuhusu gesi ya mtwara ..kuna gesi inayotumika kuzalisha umeme inatoka Mnazi bay .na Songo songo...ile gesi nyngine nyjng iliyoko majini ..bado haijaanza kuchimbwa...
Tunatumia hii ya mnazi bay ambayo visima vinamilikiwa na kampuni mbali mbali kwa hisa ..kma vile wentworth na TPDC wao wanauzia tanesco ..Kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 150Mw ,Kinyerezi 2 240 Mw ,Kinyerezi 1 ext 185 mw(huu bado hujaisha vzur)
Gesi ya songosongo inaenda kwenye mitambo ya Ubungo 1 100mw na Ubungo 2 120mw
Kulikuwa na plan ya kuendelea kujenga mitambo ya gas ila sijui kama wataendelea focus iko stigler....
Kusema la ukwel..sijui kama stigler itaweza kujiliipa ...kunengwa inaweza jengwa vzur..ila hii hali ya climatic changes..inaweza fanya mitambo i underperform