Africa's 'last great wilderness' in jeopardy as autocratic president plans mega-dam that could bankrupt Tanzania

Nakubaliana na wewe kuwa tunahitaji umeme. Nilikuwa napenda tuchambue kisayansi huu mradi

1. Wanasema upembuzi yakinifu ulifanyaka miaka 25 iliyopita na huenda uwezo wa mto rufiji kuzalisha umeme umeshapungua kwa 25%
2. Wanasema huenda tukakosa pesa ya kumaliza mradi kwa maana wafadhili wamegoma.
3. Wanasema gharama kubwa ya mradi huenda kukawa hakuna tija mbeleni
4. Wanasema kingo za mto ambapo viboko na mamba hukaa zitapotea
5. Wanasema yale maji yakihifadhiwa katiak bwawa la kuzalisha umeme yatasababisha delta ya mto rufiji kukauka na kusabisha vifo vya mimea na wanyama

Ningependa majibu ya hizi hoja kisayansi
 
Kiongozi hebu saidia, ungetakiwa kutekeleza mradi wa aina hiyo kwa Nchi kama Tz ungefanyaje?
 
Hapana. Mimi napenda tujibu hoja kwa hoja.
 
Hao wajeruman wajinga na wanachookataa tusitengeneze dam hapo, nahisi wanajua tutachimbua madini walificha hapo na zaidi wanahofia kampuni tuliyowapa tender ni Egypt ambao wanajua njia ya kujichukulia hazina zao. Wenye akil watajua
 
Hao wajeruman wajinga na wanachookataa tusitengeneze dam hapo ...nahisi wanajua tutachimbua madini walificha hapo na zaidi wanahofia kampuni tuliyowapa tender ni Egypt ambao wanajua njia ya kujichukulia hazina zao.. Wenye akil watajua
So wanachotaka wazungu ni madini...??

Nimesikia kuwa selous ni hifadhi inayotambulika na Unesco. Na hifadhi duniani zinatotambuliwa na Unesco zote zinalidwa na sheria za kimataifa
 
Hapana. Mimi napenda tujibu hoja kwa hoja.
Hakuna kitu kama hicho, eneo litakalochukuliwa na hilo bwawa halizidi 0.00001% ya mbuga yote.

Labda wangesema mitambo itakuwa inapiga kelele wanyama wanaishi kwa uoga, wangeeleweka.
 
Hao wajeruman wajinga na wanachookataa tusitengeneze dam hapo ...nahisi wanajua tutachimbua madini walificha hapo na zaidi wanahofia kampuni tuliyowapa tender ni Egypt ambao wanajua njia ya kujichukulia hazina zao.. Wenye akil watajua
Inashangaza sana.
 
Na we umeamini??? Hao wanyama nao wana tabia ka binadamu wanafuataga kwenye malisho na Maji so hata hilo eneo watalojenga dam wanyama wakiona wanakua disturbed watahamia sehemu nyingine... Selous ni kubwa sana so hamna kitachoharibikaa trust mee
 
So wanachotaka wazungu ni madini...??

Nimesikia kuwa selous ni hifadhi inayotambulika na Unesco. Na hifadhi duniani zinatotambuliwa na Unesco zote zinalidwa na sheria za kimataifa
Sheria za kimataifa ma ass ..watanzania kueni na akil hao wazungu hawana authority nchn kwetu ...
HII NI JAMHURI INAJITEGEMEA WATUACHEE TAFADHALI
 
Inashangaza sana.
Halafu wao mbona mapori wameyamaliza! Wamejenga kila sehemu. Zaidi ya 35% ya ardhi ya Tz imehifadhiwa, kwanini watukatalie kutumia hiko kisehemu kidogo. Feasibility study ilifanywa upya hiyo habari ya century iliyopita ni ujinga wa mwandishi.
 
Hakuna kitu kama hicho, eneo litakalochukuliwa na hilo bwawa halizidi 0.00001% ya mbuga yote.

Labda wangesema mitambo itakuwa inapiga kelele wanyama wanaishi kwa uoga, wangeeleweka.
Eneo ni dogo ila maji yote ya mbuga yataelrlekezwa pale.Tatizo wanasema si eneo ni chanzo cha maji cha mbuga.
 
Hakuna kitu kama hicho, eneo litakalochukuliwa na hilo bwawa halizidi 0.00001% ya mbuga yote.
Labda wangesema mitambo itakuwa inapiga kelele wanyama wanaishi kwa uoga, wangeeleweka.
Na si vizuri kupigia wanyama kelele. You know noise pollution is more harmful to animals kuliko watu.Au muwanunulie earplugs
 
Sheria za kimataifa ma ass ..watanzania kueni na akil hao wazungu hawana authority nchn kwetu ...
HII NI JAMHURI INAJITEGEMEA WATUACHEE TAFADHALI
SIO kwamba tulishinikizwa kuridhia sheria za unesco.Tulikubali wenyewe nadhani ni mwaka 1975.
 
Na we umeamini??? Hao wanyama nao wana tabia ka binadamu wanafuataga kwenye malisho na Maji so hata hilo eneo watalojenga dam wanyama wakiona wanakua disturbed watahamia sehemu nyingine... Selous ni kubwa sana so hamna kitachoharibikaa trust mee
Asante kwa majibu mazuri.
 
So wanachotaka wazungu ni madini...??

Nimesikia kuwa selous ni hifadhi inayotambulika na Unesco. Na hifadhi duniani zinatotambuliwa na Unesco zote zinalidwa na sheria za kimataifa
Wazungu utawaweza boss..waulize wana dump wapi waste zao za nuclear....cha pili kwann hata wanatengeneza nuclear...kwa vile Tz imeamua kujenga hydropower ..basi imekuwa kesi...

Cha pili sidhan kama feasibilty study nynge haikufanyika...ni hyo ya miaka 25 iliyopita..hamna kampuni inaweza ikajenga kitu isichojua inajengaje

Cha tatu ..hao wanataka tujenge ya gas ..kwa sababu wao ndo wana mine na kutuuzia Gas...na wanahisa kubwa kuliko sisi..wanataka waendelee kutuuzia gas..tena yetu wenyewe so ..watapinga tu

Cha nne mambo ya kusema hamna demand ya kutosha ..yamepitwa na wakati lazima nchi iwe na reserve za kutosha...angalia kinachowapata South africa sasa hiv ..wnaa mgao wa umeme hatari..kiais kwamba unashusha kasi ya ukuaji wa uchumi kwa asilimia karibia moja
 
Asante kwa hoja nzuri.Huu ni mradi wa matriolioni ya shilingi.Ni vema kujiridhisha kabla.

Je ni kweli kuwa kuna upembuzi yakinifu mpya uliofanyika siku za karibuni?

Je ile gesi tuliyoipata Mtwara imeishia wapi?

Je kuna athari gani za mazingira na wanyama? Ikumbukwe kuwa selous ni preserved habitat.Hifadhi zote zinazo tambulika na Unesco zinalindwa na sheria tulizo ziridhia.

Hoja yao si kuto kuwepo na demand bali ni uwezo wa Mto Rufuji kupungua na hivyo huenda mradi usiwe na tija kuzingatia gharama yake kubwa.
 
Kiasi cha miti kinachokatwa kwa ajili ya mkaa, Kiasi cha fedha kwa ajili ya kulipa umeme wa mabepari hawakisemi? Tumeongeza idadi ya hifadhi za misitu Tanzania nzima .Hawa UNESCO kama wanaweza, watoe pesa kama grant equivalent to planned investment ili zitumike kuzalisha umeme mbadala.
 
KUMBUKA URAMIUM WALIRUHUSU ICHIMBWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…