Africa's 'last great wilderness' in jeopardy as autocratic president plans mega-dam that could bankrupt Tanzania

Yes ...hicho pia ndo nnachoona ni changamoto...East Africa imekuwa ikipata drought cycles kila baada ya miaka minane mpka 10...hii inaweza ikafanya mabwabwa kuzailisha umeme kidogo sana..hili kusema kweli na kubaliana nalo..na sijui linatatuliwaje...

Kama kweli ni 3% ya eneo la stigler..binafsi naona sio mbaya

Kuhusu gesi ya mtwara ..kuna gesi inayotumika kuzalisha umeme inatoka Mnazi bay .na Songo songo...ile gesi nyngine nyjng iliyoko majini ..bado haijaanza kuchimbwa...
Tunatumia hii ya mnazi bay ambayo visima vinamilikiwa na kampuni mbali mbali kwa hisa ..kma vile wentworth na TPDC wao wanauzia tanesco ..Kwenye mitambo ya Kinyerezi 1 150Mw ,Kinyerezi 2 240 Mw ,Kinyerezi 1 ext 185 mw(huu bado hujaisha vzur)
Gesi ya songosongo inaenda kwenye mitambo ya Ubungo 1 100mw na Ubungo 2 120mw
Kulikuwa na plan ya kuendelea kujenga mitambo ya gas ila sijui kama wataendelea focus iko stigler....

Kusema la ukwel..sijui kama stigler itaweza kujiliipa ...kunengwa inaweza jengwa vzur..ila hii hali ya climatic changes..inaweza fanya mitambo i underperform
 
Kumbe mchina katia pesa hapo.
 
Nimekusoma..Kuna double standard hapo
Naona awali Unesco waliukubali huu mradi mwaka 2013 ila baadae ikaonekana utaleta madhara makubwa maana ungeharibu karibu asilimia 6 ya hifadhi na ivyo ukapigwa marufuku.

 

umetumia kichwa kuwaza au miguu
unajua mbuga ina ukubwa gani?
na wanachukua kiasi gani na kwa faida gani

only 3% ya eneo ndo litatumika sasa usiongee kama kitu hujui.

umeme 2100mgw ni faida zaidi kwetu kuliko hiyo 3%

tumia kichwa kuandika
 
Your President is loosing his mind and has no interest in basic finances.
There is no chance Tanzania will manage to bear these costs.
My bet is no living person today will see Stiegler's Gorge finished.

Julius Nyerere's projects were disasters financially - Magufuli will be even worse by bancrupting Tanzania.

Stiegler’s Gorge, two other projects to gobble up Sh1.9 trillion in Tanzania’s 2019/20 budget
 
Wameficha mzigo nini hapo? Mana hawa wajeremani ni ma regend huku vijijini bongo miundo mbinu asilia kubwa ya infrastructures bongo hasa majengo yalijegwa na wao, waingereza hawajajenga vingi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…