Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

matusi ya nini sasa ? Unajua kwanini nimesema hivyo ,Arifu mie mwenyewe chalii ya r acha kuleta mapigo ya kiduanzi ,machalii wa daslaam ndio wana hizo mboyoyo mingi
Wewe kama ni chalii ya chugani lazima utakua newcomer njuka chalii ya chugani hawezi kujirahisisha hivyo hali ni ngumu lakini utaifa kwanza.
 
mbona mboyoyo mingi sana arifu ? Ujue ni nini babaetu ? Chukulia unavyotaka
 
Nenda mombasa chap ndio wapo wenye mawazo yako naona unapenda sana wanaume wa Kenya mpaka unataka waoe miamba ya kaskazini sasa mimi kama msemaji wa miamba ya kaskazini nakulaaani kwa nguvu zote.
Achana nae huyo,
He is a brainless prick.
 
ha ha ha ha haaaa.....With JPM in reign,We can now force anyone to play our own game and with three more cement investors on the way i can not imagine mapovu toka kwa team MK254,By the way haya malori 600 yatatoa ajira kwa vijana wasiopungua 3000(drivers,mechanics,fuel stations) na watarajie kuyaona yakileta cement ya bei nafuu hapo Nairobi.
 
CC: Depay

BTW Kenyan media has been making noises on this issue i hope they will announce this as well!
 
Yaani I told them they know nothing about the factory wakajifanya midomo kibao....mambo hadharani sasa
 
Hahaha huu Uzi mie nilikaa kimya
Kwakuwa namfahamu Magu sio wamchezo
Mikenyaa ikaanza kutapika hovyo!!!
Sasa full aibu
 
kwa mara nyingine tena bandari ya Mtwara imeutangazia ulimwengu kuwa inao uwezo wa kupokea meli yenye ukubwa wowote baada muda mfupi uliopita kuipokea Meli kutoka Korea Kusini yenye shehena ya malori pamoja na mateler yake 651 ikiwa na urefu wa zaidi ya metre 200.Kina cha bandari ndio kinapimwa hivi na sio blah blah za kwenye media,hii itakuwa imefungua fursa kwa makampuni mengine mengi kuanza kuitumia bandari hii.
 
Kweli kabisa mkuu hiyo ni habari njema.
 
Kweli kabisa mkuu hiyo ni habari njema.
Kwani hivi ni mara ya kwanza meli kama hii kuingia hapa? Daah!!
Kwa swali la Dangote, Najua JPM amekubali masharti ya Dangote ndio maana amekubali kutofunga, kumaanisha ataendelea na mambo ya kutumia gesi na kutolipa kodi kama JPM alivyokuwa akidai! Ndungu zangu nyie mtaeendelea kufyonzwa!
 
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe .
 
Kwani hivi ni mara ya kwanza meli kama hii kuingia hapa? Daah!!
Kwa swali la Dangote, Najua JPM amekubali masharti ya Dangote ndio maana amekubali kutofunga, kumaanisha ataendelea na mambo ya kutumia gesi na kutolipa kodi kama JPM alivyokuwa akidai! Ndungu zangu nyie mtaeendelea kufyonzwa!
Kwahiyo unamaanisha kakubari masharti leo leo na dangote leo leo kaagiza magari 600 leo leo yakafika mtwara baada ya magufuri kukubari masharti yake?
Inaelekea zilikuwa kelele za media dangote hakuwa na mpango wa kufunga kiwanda.
 
Mod nawaomba mpandishe video juu.
 
Mod nawaomba mpandishe video juu.
video yenye aibu hio!, raisi mwenye broken english haijapata onekana katika historia ya africa, anabwaja bwaja anaishia kumuongelesha dangote kiswahili...bwahahahaaaa, tz ni uozo mtupu meffi kabisa
 
hamjiwezi jamani, mnajikomba na vya wenyewe tu....na nyie kaazisheni viwanda vya
1481396557038.jpg
huko nigeria[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji90]
 
Back
Top Bottom