Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,063
Upo dunia hii hii au? maana hiyo movie ilikwisha tokea jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo dunia hii hii au? maana hiyo movie ilikwisha tokea jana
Usisahau kumpigia kura raisi wenu mzungu mweupe Uhuru Kenyatta ili ashinde urais tena 2017.video yenye aibu hio!, raisi mwenye broken english haijapata onekana katika historia ya africa, anabwaja bwaja anaishia kumuongelesha dangote kiswahili...bwahahahaaaa, tz ni uozo mtupu meffi kabisa
Unajichukulia wa juu sanaa kujua kizungu eehhh.mbona hio ni lugha tu kama hizo zenu jaluo,kikuyu huko. We know that language you are praising but we don't bother writing or speaking it becoz we have our own[emoji36] [emoji36] [emoji36]can we all write English, so people like me can relate
Ni shida yaani umasikini umetupa kiburi hadi hatujui tufanyejeHalafu Wabongo kwa kiburi cha umaskini wanamwambia Dangote aende tu hawana haja naye.... Angalia comments zao kwenye mitandao.
Huna Jipya!Sasa wewe unataka kutufanya wajinga wasiojua linaloendelea? Tz mdanganywe sio wa Kenya!!!
200%watanzania ni maskini wa mali na akili
China's Sinoma to build $1 bln cement plant in Tanzania
Wed Mar 1, 2017 10:33am GMT
Print | Single Page
[-] Text [+]
DAR ES SALAAM, March 1 (Reuters) - China's state-run Sinoma International Engineering Co. will start work in May to build a $1 billion cement factory in Tanzania, the East African country's prime minister's office said.
The cement factory to be built on the Tanzanian coastal town of Tanga will primarily target export markets in neighbouring Democratic Republic of the Congo (DRC), Uganda and Sudan.
"About 70 per cent of the cement output will be exported, with the remaining 30 per cent to be sold in the domestic market," the prime minister's office said in a statement late on Tuesday.
"The company will also build a wharf (at the Tanga port) to facilitate export of cement from the plant."
The statement did not give details of the estimated capacity of the proposed factory.
Prime Minister Kassim Majaliwa held talks on Tuesday with the president of China National Building Materials Group Corp (CNBM), the Asian country's biggest construction materials producer, to discuss the project.
Cement makers present in Tanzania include Dangote Cement, a unit of Nigeria's Dangote Cement, Kenya's ARM Cement and subsidiary plants of Germany's Heidelberg Cement AG, Afrisam Mauritius Investment Holdings Limited and France's Lafarge SA.
Tanzania produces around 7 million tonnes of cement a year, with demand seen growing at close to 10 per cent per annum, according to government estimates.
Cement consumption is viewed as a gauge of construction activity, one of the main drivers of economic growth in the country. (Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by George Obulutsa, editing by Louise Heavens)
[emoji767] Thomson Reuters 2017 All rights reserved
China's Sinoma to build $1 bln cement plant in Tanzania | News by Country | Reuters
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Xplorer
Tutakuwa tunauza nje kwa wingi pia.Sasa hii nchi itakuwa ya cement kila kona
!!
Mbona mpaka sasa tunaongoza Ea kwa uzalishaji wa cement
Tuangalie sukari piaTutakuwa tunauza nje kwa wingi pia.
Raise wa Seychelles yupo Bongo na wawekezaji wa sukari.Tuangalie sukari pia
Kuna hii pia leoRaise wa Schyschelles yupo Bongo na wawekezaji wa sukari.
Tuangalie sukari pia