Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

video yenye aibu hio!, raisi mwenye broken english haijapata onekana katika historia ya africa, anabwaja bwaja anaishia kumuongelesha dangote kiswahili...bwahahahaaaa, tz ni uozo mtupu meffi kabisa
Usisahau kumpigia kura raisi wenu mzungu mweupe Uhuru Kenyatta ili ashinde urais tena 2017.
 
can we all write English, so people like me can relate
Unajichukulia wa juu sanaa kujua kizungu eehhh.mbona hio ni lugha tu kama hizo zenu jaluo,kikuyu huko. We know that language you are praising but we don't bother writing or speaking it becoz we have our own[emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Halafu Wabongo kwa kiburi cha umaskini wanamwambia Dangote aende tu hawana haja naye.... Angalia comments zao kwenye mitandao.
Ni shida yaani umasikini umetupa kiburi hadi hatujui tufanyeje
 
shame on u presdent magu
your govt it looking 4 famous and not economic strategies
 
@crocozila, roho imewauma baada ya kujua Dangote ana mpango wa kujenga kiwanda cha pili cha saruji badala ya kile cha Kenya na pia mbolea na kuzalisha umeme wa makaa ya mawe.
 
Crocozilla, roho imewauma baada ya kujua Dangote ana mpango wa kujenga kiwanda cha pili cha saruji badala ya kile cha Kenya na pia mbolea na kuzalisha umeme wa makaa ya mawe.
 
China's Sinoma to build $1 bln cement plant in Tanzania
Wed Mar 1, 2017 10:33am GMT

Print | Single Page
[-] Text [+]
DAR ES SALAAM, March 1 (Reuters) - China's state-run Sinoma International Engineering Co. will start work in May to build a $1 billion cement factory in Tanzania, the East African country's prime minister's office said.

The cement factory to be built on the Tanzanian coastal town of Tanga will primarily target export markets in neighbouring Democratic Republic of the Congo (DRC), Uganda and Sudan.

"About 70 per cent of the cement output will be exported, with the remaining 30 per cent to be sold in the domestic market," the prime minister's office said in a statement late on Tuesday.

"The company will also build a wharf (at the Tanga port) to facilitate export of cement from the plant."

The statement did not give details of the estimated capacity of the proposed factory.

Prime Minister Kassim Majaliwa held talks on Tuesday with the president of China National Building Materials Group Corp (CNBM), the Asian country's biggest construction materials producer, to discuss the project.

Cement makers present in Tanzania include Dangote Cement, a unit of Nigeria's Dangote Cement, Kenya's ARM Cement and subsidiary plants of Germany's Heidelberg Cement AG, Afrisam Mauritius Investment Holdings Limited and France's Lafarge SA.

Tanzania produces around 7 million tonnes of cement a year, with demand seen growing at close to 10 per cent per annum, according to government estimates.

Cement consumption is viewed as a gauge of construction activity, one of the main drivers of economic growth in the country. (Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by George Obulutsa, editing by Louise Heavens)

© Thomson Reuters 2017 All rights reserved
China's Sinoma to build $1 bln cement plant in Tanzania | News by Country | Reuters

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Xplorer
 
[emoji767] Thomson Reuters 2017 All rights reserved
China's Sinoma to build $1 bln cement plant in Tanzania | News by Country | Reuters

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Xplorer

Sasa hii nchi itakuwa ya cement kila kona
!!
Mbona mpaka sasa tunaongoza Ea kwa uzalishaji wa cement
 
Raise wa Schyschelles yupo Bongo na wawekezaji wa sukari.
Kuna hii pia leo
2212a958f20d5ae465e855fd38d5957d.jpg
23c7fa1240c5146db56116b46250ee26.jpg
 
Tuangalie sukari pia

Uwekezaji wa PPF, NSSF kupunguza uhaba wa sukari
UWEKEZAJI unaofanywa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wa PPF na NSSF kushirikiana kujenga kiwanda kikubwa cha sukari kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha tani 200,000 kwa mwaka utaliwezesha taifa kujitosheleza kwa sukari na kusaidia kushusha mfumko wa bei.

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PPF, Wiliam Erio, alisema hayo hivi karibuni kwa niaba ya menejimeti ya mifuko ya PPF na NSSF waliounda ubia katika uwekezaji wa Kiwanda Sukari nchini eneo la Mkulazi, wilaya ya Morogoro.

Erio alipewa fursa ya kutoa maelezo baada ya uwasilishaji wa taarifa kuhusu shamba la Mkulazi Holding Co . Ltd kwa wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa (RCC) kilichoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk Kebwe Stephen Kebwe, ambacho kilihudhuriwa na wabunge wa majimbo ya mkoa huo.

Kufuatia uwekezaji huo , watendaji wakuu wa mifuko ya hifadhi ya Jamii wa PPF na NSSF wameunda Kampuni ya Mkulazi Holding Co. Limited itakayosimamia mradi wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha Sukari mashamba ya miwa yaliyopo Kata ya Mkulazi, Tarafa ya Ngerengere, wilaya ya Morogoro.

Alisema uwekezaji huo ni kwenye shamba lenye ukubwa wa hekta zaidi ya 63,000 ambalo lilikuwa la serikali, ambapo kiwanda kitakachojengwa kitakuwa na uwezo wa kuzalisha tani 200,000 za sukari kwa mwaka na kutoa ajira zaidi ya 100,000 zikiwemo za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja .
http://www.habarileo.co.tz/index.ph...ekezaji-wa-ppf-nssf-kupunguza-uhaba-wa-sukari

Back
Top Bottom