chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 13,277
- 40,924
Wewe kama ni chalii ya chugani lazima utakua newcomer njuka chalii ya chugani hawezi kujirahisisha hivyo hali ni ngumu lakini utaifa kwanza.matusi ya nini sasa ? Unajua kwanini nimesema hivyo ,Arifu mie mwenyewe chalii ya r acha kuleta mapigo ya kiduanzi ,machalii wa daslaam ndio wana hizo mboyoyo mingi
mbona mboyoyo mingi sana arifu ? Ujue ni nini babaetu ? Chukulia unavyotakaWewe kama ni chalii ya chugani lazima utakua newcomer njuka chalii ya chugani hawezi kujirahisisha hivyo hali ni ngumu lakini utaifa kwanza.
Achana nae huyo,Nenda mombasa chap ndio wapo wenye mawazo yako naona unapenda sana wanaume wa Kenya mpaka unataka waoe miamba ya kaskazini sasa mimi kama msemaji wa miamba ya kaskazini nakulaaani kwa nguvu zote.
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Xplorer
CC: Depayha ha ha ha haaaa.....With JPM in reign,We can now force anyone to play our own game and with three more cement investors on the way i can not imagine mapovu toka kwa team MK254,By the way haya malori 600 yatatoa ajira kwa vijana wasiopungua 3000(drivers,mechanics,fuel stations) na watarajie kuyaona yakileta cement ya bei nafuu hapo Nairobi.
KudosCC: Depay
BTW Kenyan media has been making noises on this issue i hope they will announce this as well!
Warudi sasa tuwape za USOYaani I told them they know nothing about the factory wakajifanya midomo kibao....mambo hadharani sasa
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Xplorer
Kweli kabisa mkuu hiyo ni habari njema.kwa mara nyingine tena bandari ya Mtwara imeutangazia ulimwengu kuwa inao uwezo wa kupokea meli yenye ukubwa wowote baada muda mfupi uliopita kuipokea Meli kutoka Korea Kusini yenye shehena ya malori pamoja na mateler yake 651 ikiwa na urefu wa zaidi ya metre 200.Kina cha bandari ndio kinapimwa hivi na sio blah blah za kwenye media,hii itakuwa imefungua fursa kwa makampuni mengine mengi kuanza kuitumia bandari hii.
Kwani hivi ni mara ya kwanza meli kama hii kuingia hapa? Daah!!Kweli kabisa mkuu hiyo ni habari njema.
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe .Kwani hivi ni mara ya kwanza meli kama hii kuingia hapa? Daah!!
Kwa swali la Dangote, Najua JPM amekubali masharti ya Dangote ndio maana amekubali kutofunga, kumaanisha ataendelea na mambo ya kutumia gesi na kutolipa kodi kama JPM alivyokuwa akidai! Ndungu zangu nyie mtaeendelea kufyonzwa!
Kwahiyo unamaanisha kakubari masharti leo leo na dangote leo leo kaagiza magari 600 leo leo yakafika mtwara baada ya magufuri kukubari masharti yake?Kwani hivi ni mara ya kwanza meli kama hii kuingia hapa? Daah!!
Kwa swali la Dangote, Najua JPM amekubali masharti ya Dangote ndio maana amekubali kutofunga, kumaanisha ataendelea na mambo ya kutumia gesi na kutolipa kodi kama JPM alivyokuwa akidai! Ndungu zangu nyie mtaeendelea kufyonzwa!
video yenye aibu hio!, raisi mwenye broken english haijapata onekana katika historia ya africa, anabwaja bwaja anaishia kumuongelesha dangote kiswahili...bwahahahaaaa, tz ni uozo mtupu meffi kabisaMod nawaomba mpandishe video juu.
Ishia hapo kumtusi rais wa nchi yangu mbwa wewe.video yenye aibu hio!, raisi mwenye broken english haijapata onekana katika historia ya africa, anabwaja bwaja anaishia kumuongelesha dangote kiswahili...bwahahahaaaa, tz ni uozo mtupu meffi kabisa