N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Ila wanaagiza China bidhaa hiyo hiyo...na maelezo ni kwamba kiwanda cha Saruji kimejengwa jirani kabisa eneo la mpaka kati ya Nigeria na Benin...
Nasikiliza mahojiano ya Mo Ibrahim na Aliko Dangote hapa youtube nashangaa sana kwanini Benin wawaungishe wachina waache bidhaa ya mwafrika mwenzao.
Kweli tumelogwa, si bure. Yaani hata Mo Ibrahim( Yule mzee wa tuzo za Marais wa Afrika) anashangaa na kuhoji "Benin why are you doing something silly like that?" Afrika tuna safari ndefu kufikia maendeleo makubwa, laah tubadilike kwelikweli.