Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,364
- 5,609
Umenikumbusha uncle wangu mmoja akikutuma kitu ukaja na risiti ya duka la Gabachori unalo anakunanga mzima mzima aiseee ndio alinifundisha kununua kitu kwa uzalendo kabisa yaani kwa Mtanzania mwenzako ama laa Mwafrika basi.... Nina rafiki yangu sana mzungu huwa anapenda kununua vitu kwa wanawake anakwambia we are promoting her .....................................