Afrika alietologa sijui yuko wapi. Yaani Benin haitaki kununua saruji ya Dangote ambayo ni bei chee

If peace triggers development some of our own countries in the continent that regard themselves peaceful would have been developed like no other.

I cling to my previous point peace isn't a stimulant of development anyhow,come refreshed and opine you look overwhelmed to the extent of disrespecting my opinions. Refresh and opine. Get a cup of cold water + lemon juice and opine

Sent using Jamii Forums mobile app
How then do you describe Somali economic development in the hands of al-shabaab and other insurgents?? And how about Yemen, Syria, Afghanistan??
 
Ila wanaagiza China bidhaa hiyo hiyo...na maelezo ni kwamba kiwanda cha Saruji kimejengwa jirani kabisa eneo la mpaka kati ya Nigeria na Benin...Nasikiliza mahojiano ya Mo Ibrahim na Aliko Dangote hapa youtube nashangaa sana kwanini Benin wawaungishe wachina waache bidhaa ya mwafrika mwenzao. Kweli tumelogwa, si bure. Yaani hata Mo Ibrahim( Yule mzee wa tuzo za Marais wa Afrika) anashangaa na kuhoji "Benin why are you doing something silly like that?" Afrika tuna safari ndefu kufikia maendeleo makubwa, laah tubadilike kwelikweli.
Itakua walitaka 10% na hajatoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakua walitaka 10% na hajatoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndicho alichoeleza kwenye mahojiano yake na Mo Ibrahim...anasema hata fleet yake ya saruji kuingia nchi nyingine za West Afrika hutumia muda mrefu custom kwenye border kwa sababu yeye amezuia kabisa maafisa wake wasitoe kitu kidogo ili kuvusha mzigo...ana msimamo sana huyu jombaa
 
Lkn dangote ni muhongaji mzuri,ni mmoja wa wachangiaji wakubwa wa kampeni za urais kipindi cha Obasanjo na amechangia sana chama chake,kiufupi anajua kudeal na African govt officials why change now,atoe hela afanye biashara,ndo mazingira ya biashara Africa,bila kutoa rushwa hutoboi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ni masharti ya mikopo waliochukua toka china inawalazimisha kufanya hivyo.
 
You are talking about Benin!!, have you ever asked yourself about your natural gas in Mtwara??, with whom the exploring contract have been signed?! --- with what mutual benefit to the parties concerned ??.

Benin inahitaji misaada ya kiuchumi kutoka china na kwa kufanya biashara ya Cement nk, na China ni kama kufungua njia ya kupata misaada zaidi, je Dangote anaweza kuisaidia Benin kiuchumi??
Mleta UZI ukisoma mchango kama wa huyu jamaa bado tu utakua unajiuliza kuhusiana na sisi watu weusi? Sometimes unaweza ukadhani may be sisi ni toleo la mwisho katika uumbaji, mawazo ya kijinga na ya kimasikini kabisa haya
 
Amekuwa akisaidia sana, sema coming of wachina ndio imekuwa shida
 
Dangote ameweka bei fair kabisa ya cement na amna mfanyabiashara muungwana kama yule jamaa, pia nchi kama Tanzania ina charge tax kubwa sana kwenye cement.... Dangote amesema to do and perform business kwake sio ngumu maana anaelewa business anayofanya, lakini anasema siasa, issue and problems ni mitihani kwake yaani watu na taxes.
 
Mleta UZI ukisoma mchango kama wa huyu jamaa bado tu utakua unajiuliza kuhusiana na sisi watu weusi? Sometimes unaweza ukadhani may be sisi ni toleo la mwisho katika uumbaji, mawazo ya kijinga na ya kimasikini kabisa haya

Wewe umejuaje kwamba mimi ni mtu mweusi??!!, Kweli nyinyi watu weusi ni shida sana.

Ninachosema ni kwamba matatizo yaliyopo Benin na hapa Tz yapo kama si kama hayo basi yanafanana kwa kiasi kikubwa na hayo yaliyopo Benin.

Sasa kwani ushadidie matatizo ya jirani yako ilhali kwako kunaungua??, unahangaika na moshi utokao kwa jirani badala ya kuzima moto nyumbani kwako!!,

Hiyo ndiyo akili ya mtu mweusi?!😁😁😁
 
Amekuwa akisaidia sana, sema coming of wachina ndio imekuwa shida

Dangote amekuwa akitoa misaada kwa serikali za Afrika kama jinsi China inavyotoa??!! 🤔🤔. Basi angalianzia kwao Nigeria na umaskini ungalipungua kama si kumalizika.
 
Robo moja ya uchumi wa nigeria dangote amediversify afu Leo birthday yake ebu mwish
 
come refreshed and opine you look overwhelmed to the extent of disrespecting my opinions. Refresh and opine. Get a cup of cold water + lemon juice and opine

Exactly, I don't respect your opinion that a state of peacelessness enhances development in a country, rather I do respect you perse for contributing to the theme.

Lack of peace is associated with underdevelopment of all sorts, just have a look at Somalia,Afghanistan, DR congo etc.

I wonder,Where did you get such baseless notion of yours which have got no concrete live evidence from the real life?!!🤔🤔--- or are you an alien or just wasting time for nothing?!.--- all the time the world is crying for peace,UN supplies military personels and gears to strife areas to bring about peace in those areas, were insecurity/wars be motives for development why then the world body as the UN put its resources and money to put an end to wars and cease fires???!!🤔🤔
 
Literally ni kwamba rushwa imetakatishwa sivyo?!
Lkn dangote ni muhongaji mzuri,ni mmoja wa wachangiaji wakubwa wa kampeni za urais kipindi cha Obasanjo na amechangia sana chama chake,kiufupi anajua kudeal na African govt officials why change now,atoe hela afanye biashara,ndo mazingira ya biashara Africa,bila kutoa rushwa hutoboi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo Mkuu ujue wakubwa wanaingia udalali kwenye hiyo Tenda ya kuagiza saruji maana wakinunua jirani ulaji utaisha
Ila wanaagiza China bidhaa hiyo hiyo...na maelezo ni kwamba kiwanda cha Saruji kimejengwa jirani kabisa eneo la mpaka kati ya Nigeria na Benin...Nasikiliza mahojiano ya Mo Ibrahim na Aliko Dangote hapa youtube nashangaa sana kwanini Benin wawaungishe wachina waache bidhaa ya mwafrika mwenzao. Kweli tumelogwa, si bure. Yaani hata Mo Ibrahim( Yule mzee wa tuzo za Marais wa Afrika) anashangaa na kuhoji "Benin why are you doing something silly like that?" Afrika tuna safari ndefu kufikia maendeleo makubwa, laah tubadilike kwelikweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umejuaje kwamba mimi ni mtu mweusi??!!, Kweli nyinyi watu weusi ni shida sana.

Ninachosema ni kwamba matatizo yaliyopo Benin na hapa Tz yapo kama si kama hayo basi yanafanana kwa kiasi kikubwa na hayo yaliyopo Benin.

Sasa kwani ushadidie matatizo ya jirani yako ilhali kwako kunaungua??, unahangaika na moshi utokao kwa jirani badala ya kuzima moto nyumbani kwako!!,

Hiyo ndiyo akili ya mtu mweusi?!😁😁😁
Sema umeelewa baada ya kupewa lugha kali, kasome tena ulicho andika bila ku edit
 
Back
Top Bottom