antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
How then do you describe Somali economic development in the hands of al-shabaab and other insurgents?? And how about Yemen, Syria, Afghanistan??If peace triggers development some of our own countries in the continent that regard themselves peaceful would have been developed like no other.
I cling to my previous point peace isn't a stimulant of development anyhow,come refreshed and opine you look overwhelmed to the extent of disrespecting my opinions. Refresh and opine. Get a cup of cold water + lemon juice and opine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa Zanzibar hio miwa inalimwa wapi sana sana kwa ajili ya ku-feed viwanda vyao vya sukari?kama sukari ya Zanzibar kuja bara. wonders shall never end
kitochi
Itakua walitaka 10% na hajatoa.Ila wanaagiza China bidhaa hiyo hiyo...na maelezo ni kwamba kiwanda cha Saruji kimejengwa jirani kabisa eneo la mpaka kati ya Nigeria na Benin...Nasikiliza mahojiano ya Mo Ibrahim na Aliko Dangote hapa youtube nashangaa sana kwanini Benin wawaungishe wachina waache bidhaa ya mwafrika mwenzao. Kweli tumelogwa, si bure. Yaani hata Mo Ibrahim( Yule mzee wa tuzo za Marais wa Afrika) anashangaa na kuhoji "Benin why are you doing something silly like that?" Afrika tuna safari ndefu kufikia maendeleo makubwa, laah tubadilike kwelikweli.
Na ndicho alichoeleza kwenye mahojiano yake na Mo Ibrahim...anasema hata fleet yake ya saruji kuingia nchi nyingine za West Afrika hutumia muda mrefu custom kwenye border kwa sababu yeye amezuia kabisa maafisa wake wasitoe kitu kidogo ili kuvusha mzigo...ana msimamo sana huyu jombaa
Lkn dangote ni muhongaji mzuri,ni mmoja wa wachangiaji wakubwa wa kampeni za urais kipindi cha Obasanjo na amechangia sana chama chake,kiufupi anajua kudeal na African govt officials why change now,atoe hela afanye biashara,ndo mazingira ya biashara Africa,bila kutoa rushwa hutoboi.Na ndicho alichoeleza kwenye mahojiano yake na Mo Ibrahim...anasema hata fleet yake ya saruji kuingia nchi nyingine za West Afrika hutumia muda mrefu custom kwenye border kwa sababu yeye amezuia kabisa maafisa wake wasitoe kitu kidogo ili kuvusha mzigo...ana msimamo sana huyu jombaa
Mleta UZI ukisoma mchango kama wa huyu jamaa bado tu utakua unajiuliza kuhusiana na sisi watu weusi? Sometimes unaweza ukadhani may be sisi ni toleo la mwisho katika uumbaji, mawazo ya kijinga na ya kimasikini kabisa hayaYou are talking about Benin!!, have you ever asked yourself about your natural gas in Mtwara??, with whom the exploring contract have been signed?! --- with what mutual benefit to the parties concerned ??.
Benin inahitaji misaada ya kiuchumi kutoka china na kwa kufanya biashara ya Cement nk, na China ni kama kufungua njia ya kupata misaada zaidi, je Dangote anaweza kuisaidia Benin kiuchumi??
Amekuwa akisaidia sana, sema coming of wachina ndio imekuwa shidaYou are talking about Benin!!, have you ever asked yourself about your natural gas in Mtwara??, with whom the exploring contract have been signed?! --- with what mutual benefit to the parties concerned ??.
Benin inahitaji misaada ya kiuchumi kutoka china na kwa kufanya biashara ya Cement nk, na China ni kama kufungua njia ya kupata misaada zaidi, je Dangote anaweza kuisaidia Benin kiuchumi??
Mleta UZI ukisoma mchango kama wa huyu jamaa bado tu utakua unajiuliza kuhusiana na sisi watu weusi? Sometimes unaweza ukadhani may be sisi ni toleo la mwisho katika uumbaji, mawazo ya kijinga na ya kimasikini kabisa haya
Amekuwa akisaidia sana, sema coming of wachina ndio imekuwa shida
Robo moja ya uchumi wa nigeria dangote amediversify afu Leo birthday yake ebu mwishDangote amekuwa akitoa misaada kwa serikali za Afrika kama jinsi China inavyotoa??!! π€π€. Basi angalianzia kwao Nigeria na umaskini ungalipungua kama si kumalizika.
come refreshed and opine you look overwhelmed to the extent of disrespecting my opinions. Refresh and opine. Get a cup of cold water + lemon juice and opine
Lkn dangote ni muhongaji mzuri,ni mmoja wa wachangiaji wakubwa wa kampeni za urais kipindi cha Obasanjo na amechangia sana chama chake,kiufupi anajua kudeal na African govt officials why change now,atoe hela afanye biashara,ndo mazingira ya biashara Africa,bila kutoa rushwa hutoboi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanaagiza China bidhaa hiyo hiyo...na maelezo ni kwamba kiwanda cha Saruji kimejengwa jirani kabisa eneo la mpaka kati ya Nigeria na Benin...Nasikiliza mahojiano ya Mo Ibrahim na Aliko Dangote hapa youtube nashangaa sana kwanini Benin wawaungishe wachina waache bidhaa ya mwafrika mwenzao. Kweli tumelogwa, si bure. Yaani hata Mo Ibrahim( Yule mzee wa tuzo za Marais wa Afrika) anashangaa na kuhoji "Benin why are you doing something silly like that?" Afrika tuna safari ndefu kufikia maendeleo makubwa, laah tubadilike kwelikweli.
dangote alisema its not about the price nikwamba haruhusiwi kabisa kuingiza magari yake kiwanda chake cha nigeria kipo 30 km kutoka mpakani mwa benin ila ndo ivyoGharama za saruji ya dangote hapo ni kiasi gani na ya china kiasi gani tuanzie hapo kwanza
Love and peace
Sema umeelewa baada ya kupewa lugha kali, kasome tena ulicho andika bila ku editWewe umejuaje kwamba mimi ni mtu mweusi??!!, Kweli nyinyi watu weusi ni shida sana.
Ninachosema ni kwamba matatizo yaliyopo Benin na hapa Tz yapo kama si kama hayo basi yanafanana kwa kiasi kikubwa na hayo yaliyopo Benin.
Sasa kwani ushadidie matatizo ya jirani yako ilhali kwako kunaungua??, unahangaika na moshi utokao kwa jirani badala ya kuzima moto nyumbani kwako!!,
Hiyo ndiyo akili ya mtu mweusi?!πππ