Afrika alietologa sijui yuko wapi. Yaani Benin haitaki kununua saruji ya Dangote ambayo ni bei chee

Umenikumbusha uncle wangu mmoja akikutuma kitu ukaja na risiti ya duka la Gabachori unalo anakunanga mzima mzima aiseee ndio alinifundisha kununua kitu kwa uzalendo kabisa yaani kwa Mtanzania mwenzako ama laa Mwafrika basi.... Nina rafiki yangu sana mzungu huwa anapenda kununua vitu kwa wanawake anakwambia we are promoting her .....................................
 
Sema umeelewa baada ya kupewa lugha kali, kasome tena ulicho andika bila ku edit

Lugha kali gani uliyoitoa dhidi yangu??!!, mimi niliona ni upuuzi tu huo. Nilipofanya "edit" ilikuwa kurekebisha spelling za maneno tu na wala siyo kurejebisha "gist" ya theme.

Kama ulivyosema nyinyi Watu weusi ni shida sana.😁😁😁.
 
Nimeandika weee nkajikuta naandika na kufuru humohumo nikamuua kufuta.........! Afrika itabaki kuwa afrika nadhani kuna ukombozi mwingine unaisubiri afrika, tunahitaji Ukombozi tena ukombozi wa mtu mmojammoja...........labda niishie hivyo.
 
Angalau umeandika vizuri baada ya kuhariri...maana hilo bomu sitaki kufikiri jinsi ambavyo lingelipuka hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…