Afrika-Asia shavu kwa Blatter majibu saa 2000!

Afrika-Asia shavu kwa Blatter majibu saa 2000!

Blatter anapata sapoti kubwa Africa na Asia,yule Rais wa UEFA ametishia kujitoa kwa ncni za Ulaya kombe la Dunia 2018 iwapo tu iwapo kama Blatter atashinda..

Hata hao ulaya bado hawana sauti moja! Kwa mfano urusi na nchi kadhaa za ulaya mashariki wanamkubali Blatter, uswiss wanamkubali Blatter etc. Wanaomkomalia hasa ni Uingereza, ujerumani, ufaransa. Wengi tu hawajaweka msimamo wao hadharani wakiogopa kulaumiwa na Wazungu wenzao!
Wakitaka waondoke FIFA wasitutishe!
 
Kitendo cha kisirisiri cha wapalestina kutaka Israel ifukuzwe FIFA kwa sababu ya uwezo wake kijeshi wa kuwaliza mapalestina sugu kimechangia sana kuihaibisha FIFA na raisi wake Set Blatter. masuala ya kisiasa hayendani na michezo, hivyo kama set blatta alijiingiza ndani ya mgogoro wa mashujaa wa kiyahudi na mipalestina sugu, basi sasa kaumbuka. Mipalestina inadhaia FIFA ni OAU umoja wa nchi huru za kiafrica. kumbuka OAU ilirubuniwa na mataifa ya kiarabu mwaka 1973 kuvunja uhusiao wa kibalozi na Israel. sass azma yao ya 1973 wanataka kuileta FIFA.
 
Back
Top Bottom