mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Blatter anapata sapoti kubwa Africa na Asia,yule Rais wa UEFA ametishia kujitoa kwa ncni za Ulaya kombe la Dunia 2018 iwapo tu iwapo kama Blatter atashinda..
Hata hao ulaya bado hawana sauti moja! Kwa mfano urusi na nchi kadhaa za ulaya mashariki wanamkubali Blatter, uswiss wanamkubali Blatter etc. Wanaomkomalia hasa ni Uingereza, ujerumani, ufaransa. Wengi tu hawajaweka msimamo wao hadharani wakiogopa kulaumiwa na Wazungu wenzao!
Wakitaka waondoke FIFA wasitutishe!