MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #101
Hukuelewa logic yangu ya kutumia neno "nasikia" inahitajika ubongo wako uwe unafanyakazi vizuri ili uelewe nilikuwa na maanisha nini mkuu. Nimeishi na kufanyakazi Nairobi maeneo ya West Land kwa miaka kibao hivyo naijua Kenya na wakenya wenyewe kuliko uzaniavyo mkuu!!
Kama kweli umeishi Kenya miaka sita na bado unatumia neno 'naskia' basi utakua na matatizo ya kiaina. Mimi Bongo nimepaishi na kukatiza mikoa mingi na naweza kueleza kuhusu nchi yenu hiyo zaidi ya wengi wenu wazawa.