Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika

Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika

Mkuu twende tu hivi hivi tutafika tu kwa miujiza ya mungu...

Ukipinga utaitwa mpinga maendeleo
 
Nchi nzima Sijui umemaanisha nini? Nimelazimika kuhakiki, huku niliko upo na haujakatika tangu Asubuhi.

Kasema Mikoa inayo unganishwa kwa grid ya taifa na wewe mzee, em soma tena maelezo umo ndani usikurupuke kukosoa tu
 
Hilo gazeti ni la kipumbavu sana, ona lilivyoandika habari kishabiki, Ni wazi kabisa ni Gazeti la Kenya hili,
Eti world Heritage my foot, mnadhani ni zile zama za JK na ufala wa Serengeti watch, Huu ni utawala wa chuma, Tunajenga chochote, popote kwenye nchi yetu na hakuna yeyote wa kutuletea fyokofyoko, awe Mkenya au mzungu,
Halafu tupo na 1750MW sasa hivi sio 1500MW kama hilo gazeti la udaku linavyodai..
Na tukimaliza kinyerezi IV tutakuwa kwenye 2500MW hapo bado mradi mkubwa wa HEP tunaojenga kwenye GAME RESERVE!
 
Whatever happening in Tanzania lazma uzungumzie enhee? You have alot to talk about Kenya kuliko Tanzania kukatika umeme.
nilikuwa sijui kama jamii forums is strickly for Tanzanians only!
 
Kasema Mikoa inayo unganishwa kwa grid ya taifa na wewe mzee, em soma tena maelezo umo ndani usikurupuke kukosoa tu
Ndio maana nikauliza anachomaanisha ni nini? Nchi nzima akimaanisha Dar sawa, akimaanisha grid ya taifa, nimemwambia ni muongo, Simiyu iko kwa grid ya taifa na haukukatika, na Mwingine ameitolea mfano Dodoma na kwingineko pia, haya wewe uliyesoma vizuri na kuielewa, nipe maana nyingine zaidi ya hizo "nchi nzima" alimaanisha nini?
 
mnachobisha ni nini? hadi huku mwanza ambapo kwa mujibu wake Rais ndiyo waliompa U rais umeme unakatika viuno kwelikweli ni balaa,washkaji wa saluni na welding hawana hamu ,wanashangaa maaana walitakiwa wapate upendeleo maalumu yaani Yumani fesi
 
Hao ndio CCM wa Lumumba kila siku wao porojo tuu

Huwezi ona mkenya akiongea upuuzi wa dizaini hii kuhusu Kenya, instead atakuwa positive na kutoa mapendekezo, ni aibu nyumba unayoishi unaiombea mabaya!

viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hii
.
Watu wengi naona hamjamshtukia huyu MK254 yeye hupenda kuleta mada ambazo zinachochea utofauti wa kimtazamo kati ya wana ccm na chadema halafu yeye anakaapembeni akiwaangalia mnavyoparurana.

Uri mwega.
 
Hilo gazeti ni la kipumbavu sana, ona lilivyoandika habari kishabiki, Ni wazi kabisa ni Gazeti la Kenya hili,
Eti world Heritage my foot, mnadhani ni zile zama za JK na ufala wa Serengeti watch, Huu ni utawala wa chuma, Tunajenga chochote, popote kwenye nchi yetu na hakuna yeyote wa kutuletea fyokofyoko, awe Mkenya au mzungu,
Halafu tupo na 1750MW sasa hivi sio 1500MW kama hilo gazeti la udaku linavyodai..
Na tukimaliza kinyerezi IV tutakuwa kwenye 2500MW hapo bado mradi mkubwa wa HEP tunaojenga kwenye GAME RESERVE!
"East Africa's third biggest economy" mh!
 
Kwetu umeme zaid ya wiki haujakatika
Ni mafanikio makubwa sana hayo vipi week 2 zilizopita na je week ijayo mna uhakika wa kuwa nao? inafurahisha sana nchi ya viwanda wananchi wake wanaposhangaa week imepita bila umeme kukatika,sisi huku ni kawaida saa moja asubuhi kurudi moja usiku halafu kibabe no explaination.
 
viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hii
wewe ulitaka tujaribu vipi.katika watu si rafiki unaweza kuwa wewe hata huna rafiki mtaani kwa husda yako
 
hapa nai umeme kukatika ovyo hamna tena ukapotea nusu saa upo tena.mimi ni juakali na hutegemea sana
 
Hata leo huku kwetu umeme umekatika
 
Sjui kwann waziri mhuska bado yupo kwa ofisi
 
Back
Top Bottom