Afrika bana, nchi yote ya Tanzania umeme umekatika

Nchi ya viwanda
Roma was not built in one day and is still being built!!!

TANZANIA YA VIWANDA YES, IPO NJIANI UCHUMI UTAKUA NA AJIRA ZITAONGEZEKA, UMASIKINI UTABAKI HISTORY .. MIDDLE CLASS ITAENEA NA KILA MTANZANIA ATAKUA NA MAISHA MAZURI. IN SHAA ALLAH, TUTAFIKA.
 
Halafu kwa miaka hii miwili, kuna ongezeko kubwa sana la watumiaji wa umeme. Hadi vijijini kabisa umeme wa gridi umefika. Mkoani Simiyu, umeme kwa kwa miaka hii miwili ongezeko ni kubwa, vijiji vingi sana vina umeme.
 
Sasa huo utawala wake umekwisha? Jamani hivi ww ni Mtz au mamluki? Tulia amalize muhula wake ndiyo ujiropokee hivyo. Ww huoni jitihada anazofanya au ulitaka ndani ya mwaka mmoja awe ameondoa mataitizo yaliyoasisiwa kianzia awamu ya pili ya uongozi wa nchi? Tumpe support JPM maana hii nchi yetu wote ili atoe mchango anaoweza kuutoa ktk kipindi chote. Yaani mnamkatisha tamaa na macoment yenu negative kwa kila anachokifanya. Kanyaga twende JPM utuondolee mataitizo sugu ya umeme.
 
Roma was not built in one day and is still being built!!!

TANZANIA YA VIWANDA YES, IPO NJIANI UCHUMI UTAKUA NA AJIRA ZITAONGEZEKA, UMASIKINI UTABAKI HISTORY .. MIDDLE CLASS ITAENEA NA KILA MTANZANIA ATAKUA NA MAISHA MAZURI. IN SHAA ALLAH, TUTAFIKA.
viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hii
 
Mbona moshi mtaa wa nmb hawajakata umeme
 
viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hii
Hivi Anko Magu ni mccm wa kichama huyu? Mi Nadhani bado hatujamuelewa, na niseme jambo moja, awamu hii ndo ya kwanza, kwa wasio na mavyama wanaumuunga mkono huyu prezda. Nje ya Ccm na vyama vingine vya siasa, kuna kundi kubwa sana la watanzania, Huu ni Ukweli ambao daily watu wanaupinga, lakini utabaki tu kuwa ni Ukweli.
 
Halafu kwa miaka hii miwili, kuna ongezeko kubwa sana la watumiaji wa umeme. Hadi vijijini kabisa umeme wa gridi umefika. Mkoani Simiyu, umeme kwa kwa miaka hii miwili ongezeko ni kubwa, vijiji vingi sana vina umeme.
unaongeza watumiaji bila kuongeza uzalishaji? hizi ni akili za kawaida au ni kichanganyikiwa huku.
 
viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hii
TUNAZUNGUMZIA AWAM YA TANO .. AWAM YA HAPA KAZI TU. USI LETE LONGOLONGO ZAKIPUUZI ... CCM .. KWANI ULIKUA WAPI MIAKA YOTE HII???!
 
Halafu kwa miaka hii miwili, kuna ongezeko kubwa sana la watumiaji wa umeme. Hadi vijijini kabisa umeme wa gridi umefika. Mkoani Simiyu, umeme kwa kwa miaka hii miwili ongezeko ni kubwa, vijiji vingi sana vina umeme.
PAMOJA SAAANA .. HUU NDIYO UKWELI WA MAMBO... REA BADO INAENDELEA MIKOA YA KUSINI KUUNGANISHA UMEME, NCHI YETU NI KUBWA MNO KWA MAPANA NA MAREFU, MIUNDO MBINU NI NYINGI NA CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI ATUWEZESHE NA ATUJAALIE UMOJA NA MSHIKAMANO KATIKA KUIJENGA NCHI YETU NA KUMSAIDIA RAIS WETU MPENDWA MAGUFULI NA SERIKALI YAKE KATIKA KUPAMBANA NA RUSHWA NA KUIMARISHA UMEME NA MAJI VIJIJINI NA BARABARA NA UKULIMA WA MATRACTOR. JEMBE LIBAKI KUMBUKUMBU. EWE MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI TUWEZESHE. AAMIYN
 
Huwezi ona mkenya akiongea upuuzi wa dizaini hii kuhusu Kenya, instead atakuwa positive na kutoa mapendekezo, ni aibu nyumba unayoishi unaiombea mabaya!
KWELI KABISA.. UZALENDO KWANZA.. NA UKWELI WANAWONA WATU BAKI LAKINI NDUGU YETU MTANZANIA ANAUKANUSHA .. HOW SAD! [emoji17]
 
PAMOJA SAAANA .. HUU NDIYO UKWELI WA MAMBO... REA BADO INAENDELEA MIKOA YA KUSINI KUUNGANISHA UMEME, NCHI YETU NI KUBWA MNO KWA MAPANA NA MAREFU, MIUNDO MBINU NI NYINGI NA CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI ATUWEZESHE NA ATUJAALIE UMOJA NA MSHIKAMANO KATIKA KUIJENGA NCHI YETU NA KUMSAIDIA RAIS WETU MPENDWA MAGUFULI NA SERIKALI YAKE KATIKA KUPAMBANA NA RUSHWA NA KUIMARISHA UMEME NA MAJI VIJIJINI NA BARABARA NA UKULIMA WA MATRACTOR. JEMBE LIBAKI KUMBUKUMBU. EWE MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI TUWEZESHE. AAMIYN
Kwa kuongezea tu, huduma za maji na barabara za vijijini, zimeundiwa wakala wake, ni kama REA ya maji na barabara.
 
Back
Top Bottom