knowledge quench
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 227
- 107
MZUNGU SHAIDI GOA [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakyanani sitowaangusha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MZUNGU SHAIDI GOA [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakyanani sitowaangusha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakiona dar haupo wanajua ni nchi nzima
Roma was not built in one day and is still being built!!!Nchi ya viwanda
Halafu kwa miaka hii miwili, kuna ongezeko kubwa sana la watumiaji wa umeme. Hadi vijijini kabisa umeme wa gridi umefika. Mkoani Simiyu, umeme kwa kwa miaka hii miwili ongezeko ni kubwa, vijiji vingi sana vina umeme.Roma was not built in one day and is still being built!!!
TANZANIA YA VIWANDA YES, IPO NJIANI UCHUMI UTAKUA NA AJIRA ZITAONGEZEKA, UMASIKINI UTABAKI HISTORY .. MIDDLE CLASS ITAENEA NA KILA MTANZANIA ATAKUA NA MAISHA MAZURI. IN SHAA ALLAH, TUTAFIKA.
Huwezi ona mkenya akiongea upuuzi wa dizaini hii kuhusu Kenya, instead atakuwa positive na kutoa mapendekezo, ni aibu nyumba unayoishi unaiombea mabaya!Hao ndio CCM wa Lumumba kila siku wao porojo tuu
viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hiiRoma was not built in one day and is still being built!!!
TANZANIA YA VIWANDA YES, IPO NJIANI UCHUMI UTAKUA NA AJIRA ZITAONGEZEKA, UMASIKINI UTABAKI HISTORY .. MIDDLE CLASS ITAENEA NA KILA MTANZANIA ATAKUA NA MAISHA MAZURI. IN SHAA ALLAH, TUTAFIKA.
my ribsSiti ya kwanza, Tanzania ya viwanda yaja tuunge mkono juhudi za serikali.
Hivi Anko Magu ni mccm wa kichama huyu? Mi Nadhani bado hatujamuelewa, na niseme jambo moja, awamu hii ndo ya kwanza, kwa wasio na mavyama wanaumuunga mkono huyu prezda. Nje ya Ccm na vyama vingine vya siasa, kuna kundi kubwa sana la watanzania, Huu ni Ukweli ambao daily watu wanaupinga, lakini utabaki tu kuwa ni Ukweli.viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hii
unaongeza watumiaji bila kuongeza uzalishaji? hizi ni akili za kawaida au ni kichanganyikiwa huku.Halafu kwa miaka hii miwili, kuna ongezeko kubwa sana la watumiaji wa umeme. Hadi vijijini kabisa umeme wa gridi umefika. Mkoani Simiyu, umeme kwa kwa miaka hii miwili ongezeko ni kubwa, vijiji vingi sana vina umeme.
TUNAZUNGUMZIA AWAM YA TANO .. AWAM YA HAPA KAZI TU. USI LETE LONGOLONGO ZAKIPUUZI ... CCM .. KWANI ULIKUA WAPI MIAKA YOTE HII???!viwanda siyo sawa na kwenda kuchuma mchicha brother. Roma haikujengwa kwa siku moja lakini si kwa maskhara kama yanayofanywa na CCM hii
PAMOJA SAAANA .. HUU NDIYO UKWELI WA MAMBO... REA BADO INAENDELEA MIKOA YA KUSINI KUUNGANISHA UMEME, NCHI YETU NI KUBWA MNO KWA MAPANA NA MAREFU, MIUNDO MBINU NI NYINGI NA CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI ATUWEZESHE NA ATUJAALIE UMOJA NA MSHIKAMANO KATIKA KUIJENGA NCHI YETU NA KUMSAIDIA RAIS WETU MPENDWA MAGUFULI NA SERIKALI YAKE KATIKA KUPAMBANA NA RUSHWA NA KUIMARISHA UMEME NA MAJI VIJIJINI NA BARABARA NA UKULIMA WA MATRACTOR. JEMBE LIBAKI KUMBUKUMBU. EWE MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI TUWEZESHE. AAMIYNHalafu kwa miaka hii miwili, kuna ongezeko kubwa sana la watumiaji wa umeme. Hadi vijijini kabisa umeme wa gridi umefika. Mkoani Simiyu, umeme kwa kwa miaka hii miwili ongezeko ni kubwa, vijiji vingi sana vina umeme.
KWELI KABISA.. UZALENDO KWANZA.. NA UKWELI WANAWONA WATU BAKI LAKINI NDUGU YETU MTANZANIA ANAUKANUSHA .. HOW SAD! [emoji17]Huwezi ona mkenya akiongea upuuzi wa dizaini hii kuhusu Kenya, instead atakuwa positive na kutoa mapendekezo, ni aibu nyumba unayoishi unaiombea mabaya!
[emoji106] very true!!!Whatever happening in Tanzania lazma uzungumzie enhee? You have alot to talk about Kenya kuliko Tanzania kukatika umeme.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka hata Kenya Nyani walifanya mbaya umeme nchi nzima ukakatika.
Monkey causes nationwide blackout in Kenya - CNN
BWEGE WEE!! IPENDE NCHI YAKO NA KUAMZALENDO.Wameuhamishia kwenye Viwanda
Kwa kuongezea tu, huduma za maji na barabara za vijijini, zimeundiwa wakala wake, ni kama REA ya maji na barabara.PAMOJA SAAANA .. HUU NDIYO UKWELI WA MAMBO... REA BADO INAENDELEA MIKOA YA KUSINI KUUNGANISHA UMEME, NCHI YETU NI KUBWA MNO KWA MAPANA NA MAREFU, MIUNDO MBINU NI NYINGI NA CHANGAMOTO HAZIKOSEKANI. MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI ATUWEZESHE NA ATUJAALIE UMOJA NA MSHIKAMANO KATIKA KUIJENGA NCHI YETU NA KUMSAIDIA RAIS WETU MPENDWA MAGUFULI NA SERIKALI YAKE KATIKA KUPAMBANA NA RUSHWA NA KUIMARISHA UMEME NA MAJI VIJIJINI NA BARABARA NA UKULIMA WA MATRACTOR. JEMBE LIBAKI KUMBUKUMBU. EWE MWENYE-ENZI-MUNGU-ALLAH-MLEZI TUWEZESHE. AAMIYN
is this an excuse?Nakumbuka hata Kenya Nyani walifanya mbaya umeme nchi nzima ukakatika.
Monkey causes nationwide blackout in Kenya - CNN