Afrika haitakuwa kwenye hali mbaya dhidi ya Covid-19

Mkuu wakati Mtume Muhammad S.A.W anahubiri uislam, wafuasi wake walipata mateso makali pamoja na kuuawa.

Akawapa Amri aende nchi ya Abysinia au ethiopia ya sasa aliwaambia waende kwa kuwa katika nchi hiyo kuna mfalme japokua ni mkristo lakini hafanyi dhulma kwa mtu yoyote.

Na kweli Mfalme huyu akawapokea waislamu na kuwapa hifadhi. Bara la Afrika lina historia ndefu kuliko mabara ya America na ulaya lakini tu tunadhulumiwa na kuhujumiwa na puppet regimes.
 
Ww ni muokosi tu. Kinachoponesha sio vifaa wala madaktari.
 
Watu hawapendi kuangalia vitu katika historical point of view
HISTORIA huwa ina maana sana usipoijua utapotea
Wao ulaya wapambane na hali yao kwanini tulazimishe kila wanalopitia wao basi ni lazima na Sisi tupitie?
Namsifu Magufuli Rais amedhihirisha yeye ni Dr. haswa kupita njia yake na kamtaja Yesu Kristo
Hii kitu haitafua dafu Africa ngoja tuone
 
Uko sahihi kilichowacost wazungu ni ile dharau yao tu na kujiona wao ni wakubwa . Ugonjwa wakati upo China hawakachukua hatua mapema. Mpaka leo waengereza wanashangaa kwa nini mashabiki elfu 3 wa Atletico Madrid waliruhusiwa kuingia England wakati Spain maradhi yamepamba moto. Ligi zimekuja kusimamishwa too late.
 
Archbishop of Canterbury anatoa mahubiri jikoni nyie kaeni mkidanganyana tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Amen,barikiwa nawe katika jina la Yesu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafua ba Mwafrica wapi na wapi?
Tutakuwa Kweli ila ni wale wagonjwa na hata hivyo kwa kiasi kidogo sana..

Mungu yu pamoja na hasi hadi utimilifu wa dahali... anajua akiruhusu gonjwa hili aisee Africa itabakia msitu....
 
Good comment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni nani hata kupinga huruma ya Mungu kwa Waafrika??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…