Afrika haitakuwa kwenye hali mbaya dhidi ya Covid-19

Mkuu tuliambiwa mpaka tarehe 15.04.20 tutaambukizwa kama watu buku
Kiko wapi?? Wanadamu sio Mungu bhana
Tuendelee kuomba Yesu Kristo atatuvusha salama. Wewe amini tu hata na familia yako itavushwa salama Kristo ni habari nyingine. Rais ameshasema tunakakemea kwa jina la Yesu kakorona kulee.
Hapa ndio unaona haja ya kuwa na Rais Mcha Mungu
Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to mheshimiwa Ummy WHO walisema april TZ kutakua na wagonjwa 1000+ na april 15 tutakua kwenye 10,000+ kikowapi sasa hata serikali ikificha vifo haviongopi tungejua tu kitu cha msingi ni kuchukua hatua zote za muhimu za kujikinga na kujilinda na kua salama ila sio lazima kwamba tufe kama wao
 
Hawa sio Mungu lazima tufikie mahali tuwapinge na takwimu zao ambazo hazijulikani wanatoa wapi?
Mh mkuu kashaonesha njia amewakataa kwa kuwakemea kwa jina la Yesu Kristo tunaeazimisha Leo kufufuka kwake
 
Napenda kuwajibu hao wanaosema kuwa Africa tutakuwa katika hali mbaya zaidi kuliko hata Italy, France na Germany.*

Ni nani asemaye neno na likatimia ikiwa Bwana hakuliagiza? MAOMBOLEZO 3:37-38

1. Usisahau kuwa ni katika Africa ambapo Mungu alimtajirisha Abraham (Misri)

2. ISAKA alitembelea Africa na akabarikiwa.

3. Ni katika Africa ambapo Yakobo alikimbilia akabarikiwa wakati dunia nzima ilipigwa na njaa.

4. Ni katika Africa Yusufu aliinuliwa na kuwa waziri mkuu (Misri)

5. Ni katika Africa ambako wana wa Israel walipona na mapigo ya Mungu yaliyowapata dunia nzima.

6. Ni katika Africa ambako Musa alizaliwa na akawa mkuu sana ili kuwaokoa wana wa Israel

7. Ni katika Africa ambako wana wa Israel walibeba (mali) fedha, dhahabu na vito vya thamani ili kujengea hema ya kukutania

8. NI KATIKA AFRICA AMBAKO MKOMBOZI WETU *YESU* ALIPATA KIMBILIO WAKATI HERODE ALIPOTAKA KUMUUA AKIWA MTOTO MCHANGA. *Africa ni sehemu ya Makimbilio.*

9. Bwana Yesu alipokuwa akielekea kusulubiwa, ni Mtu Mwafrica (Simon wa Kirene) aliyemsaidia kuubeba msalaba. ( *Africa imeugusa msalaba* )

Ninapinga na kukataa kila neno baya linalotamkwa dhidi ya Africa. Kwa jina la Bwana Wetu Yesu Kristo Aliye Hai.

Wazungu wanamahospitali makubwa yaliyojaa kila aina ya dawa, lakini *AFRICA TUNAYE MUNGU MWEZA WA YOTE *

*ZABURI 91: 1.7* Mabaya hayatakupata, wala tauni haitakaribia katika hema yako

*EXODUS 23:25.* Nanyi mtamtumikia BWANA, Mungu wenu, naye atakibarikia chakula chako, na maji yako; nami nitakuondolea ugonjwa kati yako.

*Isaya 60:2* Tazama giza litaifunika dunia, na giza kuu litafunika kabila za watu bali Bwana atakuzukia wewe. Utukufu utaonekana juu yako.

Zaidi ya yote tufuate maelekezo ya serikali bila kuyapuuza na tuishi kwa tahadhari. Na pia usipoze imani kwa Mungu wako

Ukiamini haya basi sambaza kwa wengine ili washuhudie uweza wa MUNGU WETU

Ubarikiwe sana mwana wa MUNGU
Huko Misri kwenyewe ndio wanaongoza kwa covid baada ya South Africa. Acha ujinga Mungu hafanyi kazi hivyo.
 
Justify it scientifically

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom