The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,709 Sep 25, 2025 #1 Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo? Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo? Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 13,008 Reaction score 24,820 Sep 25, 2025 #2 Kuna vyama vinatawala kutokana na ujinga na uoga wa wananchi wao. Hakuna nchi inayotumia cohesive apparatus zake, wananchi wakaamka na hizo apparatus zikawashinda wananchi. Nguvu ya wananchi ndio chanzo cha mabadiriko duniani kote
Kuna vyama vinatawala kutokana na ujinga na uoga wa wananchi wao. Hakuna nchi inayotumia cohesive apparatus zake, wananchi wakaamka na hizo apparatus zikawashinda wananchi. Nguvu ya wananchi ndio chanzo cha mabadiriko duniani kote
1academ JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 2,682 Reaction score 4,343 Sep 25, 2025 #3 Tuko vizurii mazeee dah... Oktomba tunatikii
nikuweke JF-Expert Member Joined Sep 23, 2025 Posts 370 Reaction score 840 Sep 25, 2025 #4 Vyote vipo