Afrika imelaaniwa, kainchi kadogo kama Sweden ndo huongoza kutoa misaada kwa nchi kubwa yenye kila kitu kama Tanzania

Kainch ketu kadogo, zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, ila nyie ukubwa wa nchi yenu itabidi tuunganishe Kenya, Uganda na Rwanda ili kuifikia, na hamna jangwa sehemu yoyote, madini kote na vivutio bora vya utalii, lakini bajeti ya taifa mnategemea misaada ya viinchi vidogo vidogo kama Sweden ambao hawana hata madini.

Kama Sweden na UAE wameweza kwanini nyie mshindwe? Au nazo ni kubwa kuliko KE
 
UAE wamebarikiwa mafuta ya kumwaga, yaani wao ni kubweteka tu kwanza hata hawayachimbi wenyewe, wao ni kula na kunywa tu.

Sisi juzi ndio tumepata mafuta, uchumi wa nchi yetu ni "service based" yaani watu kujituma maana hatuna madini wala nini.

Wengine hao kama Sweden nafuu yao ni kwamba wana majirani wanaojituma, hivyo wanaambikazana hiyo bidii, sisi hapa tumezungukwa na matafa ya kiajabu, kazi kutujazia maelfu ya omba omba mjini

Kumlaumu mtu mwingine kwa shortcomings zako ni kukimbia majukumu yako.

Mna mafuta, bandari, mbuga, milima na watu. Mnataka nini zaidi?

Kwahiyo nchi zote zisizo na madini ni tegemezi? Sweden wana madini?
 
Rudia nilichokiandika, naona hukusoma, rudia kama mara tano baada ya hapo itakua rahisi kujadili nawe.
 
Tanzania tuna laana ya wazi kabisa hatuwekezi kwenye akili zaidi sijui kwa nini hakuna anaeliona hilo
 
Rudia nilichokiandika, naona hukusoma, rudia kama mara tano baada ya hapo itakua rahisi kujadili nawe.

sisi hapa tumezungukwa na matafa ya kiajabu, kazi kutujazia maelfu ya omba omba mjini

Kumlaumu mtu mwingine kwa shortcomings zako ni ujinga.

TZ inasaidiwa na Sweden, KE inasaidiwa na UAE wote ni wale wale tu.
 
Uzi nilianza kwa kulaani Afrika mbona hivi, mkajibu kwamba ni halali kisa Kenya kuna kipindi hupokea chakula kwa ajili ya watu wa maeneo kame.

Ikabidi niwaweke sawa, maana kwanza nyie mnapokea msaada wa kwenye bajeti ya taifa moja kwa moja, pili sisi ni watu wa maeneo kame ndio hujikuta katika hiyo hali maana zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame, ila nyie nchi yote hiyo hamna sehemu hata moja yenye ukame.
 
Huu wimbo wako hauna mashiko hata Siku moja! ! Hakuna sababu yyte nyie kupewa msaada wa chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Kusema kweli inasikitisha sana! Tanzania tumejaliwa rasilimali za kutosha isipokua uwezo wa kuzitumia ili kutunufaisha. NA hili janga kubwa sana kwa nyingi mweusi popote pale alipo.
 
But wa Tanzania tusiwe watu wa kushambulia tuu, mtoa mada kasema kwa Afrika kwa ujumla akitoa mfano mzuri tuu,
Hivo ni swala la kujadili hii aibu mpaka lini.

Tusiwe watu wa kushambulia bali wenye kujiuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi nilianza kwa kulaani Afrika mbona hivi, mkajibu kwamba ni halali kisa Kenya kuna kipindi hupokea chakula kwa ajili ya watu wa maeneo kame.
Ikabidi niwaweke sawa, maana kwanza nyie mnapokea msaada wa kwenye bajeti ya taifa moja kwa moja, pili sisi ni watu wa maeneo kame ndio hujikuta katika hiyo hali maana zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame, ila nyie nchi yote hiyo hamna sehemu hata moja yenye ukame.

Nadhani wewe ndo inabidi urudi kunisoma vizuri, nilisema for once nakubaliana na wewe sababu hujaishambulia TZ bali Africa nzima.

Msaada kwenda sehemu ya Kenya ni msaada kwa Kenya, hayo mambo ya vijitongoji sijui vijiiji vya ukame ni kujifariji tu.
 
Kweli Kabisa tuna kila sababu ya waafrika kujitathimini, UAE inaingia zaidi ya mara 10 kwa Kenya, 100% ya ardhi ni jangwa, lakini wanauwezo wa kujilisha na kuwapa chakula cha msaada Kenya tense ardhi yenye uwezo wa kuzalisha chai ya dunia nzima.

Haiwezikani na ni aibu isiyoelezeka kwamba baada ya takriban miaka sitini ya kujitawa bado hata kujilisha hamuwezi mnategemea misaada, hata Burundi na Malawi zinawashinda?
 
Eti ya Libya. Kwa hiyo watu wafe tukae kimya eti kisa mtu analeta maendeleo. Hizo zitakuwa akili za kuvukia barabara.
Halafu hapo ndipo anakuja rais anayetaka kuleta mabadiliko, wananchi wake wengi sana wanasema kuwa rais hafai eti ni muuaji, nan kaloga wao sasa, ya Libya hata hatujifunzi...inaonekana watanzania wengi walikuwa wanaishi kijanja kijanja sana...kwa sababu aawamu hii imewabana na wanaonesha chuki liv...mm niliyekuwa naishi kwa jasho langu, sijawah kulalamika hata siku moja....wachen hzo watanzania...achen kuziba macho na maasikio makusudi....mtakuja angukia pabaya zaid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom