Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Kainch ketu kadogo, zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, ila nyie ukubwa wa nchi yenu itabidi tuunganishe Kenya, Uganda na Rwanda ili kuifikia, na hamna jangwa sehemu yoyote, madini kote na vivutio bora vya utalii, lakini bajeti ya taifa mnategemea misaada ya viinchi vidogo vidogo kama Sweden ambao hawana hata madini.
Kama Sweden na UAE wameweza kwanini nyie mshindwe? Au nazo ni kubwa kuliko KE