Kainch ketu kadogo, zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, ila nyie ukubwa wa nchi yenu itabidi tuunganishe Kenya, Uganda na Rwanda ili kuifikia, na hamna jangwa sehemu yoyote, madini kote na vivutio bora vya utalii, lakini bajeti ya taifa mnategemea misaada ya viinchi vidogo vidogo kama Sweden ambao hawana hata madini.
Kama Sweden na UAE wameweza kwanini nyie mshindwe? Au nazo ni kubwa kuliko KE
UAE wamebarikiwa mafuta ya kumwaga, yaani wao ni kubweteka tu kwanza hata hawayachimbi wenyewe, wao ni kula na kunywa tu.
Sisi juzi ndio tumepata mafuta, uchumi wa nchi yetu ni "service based" yaani watu kujituma maana hatuna madini wala nini.
Wengine hao kama Sweden nafuu yao ni kwamba wana majirani wanaojituma, hivyo wanaambikazana hiyo bidii, sisi hapa tumezungukwa na matafa ya kiajabu, kazi kutujazia maelfu ya omba omba mjini
Kumlaumu mtu mwingine kwa shortcomings zako ni kukimbia majukumu yako.
Mna mafuta, bandari, mbuga, milima na watu. Mnataka nini zaidi?
Kwahiyo nchi zote zisizo na madini ni tegemezi? Sweden wana madini?
Ukubwa wa K*nde sio wingi wa nini?Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Ukubwa wa boga si wingi wa mbengu.
WazunguUkubwa wa K*nde sio wingi wa nini?
Hao mashoga hatutaki watuzoee ,utetee ushoga ili nn manina zao, waendelee kuigana pini uko kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia nilichokiandika, naona hukusoma, rudia kama mara tano baada ya hapo itakua rahisi kujadili nawe.
sisi hapa tumezungukwa na matafa ya kiajabu, kazi kutujazia maelfu ya omba omba mjini
Kumlaumu mtu mwingine kwa shortcomings zako ni ujinga.
TZ inasaidiwa na Sweden, KE inasaidiwa na UAE wote ni wale wale tu.
Huu wimbo wako hauna mashiko hata Siku moja! ! Hakuna sababu yyte nyie kupewa msaada wa chakulaUzi nilianza kwa kulaani Afrika mbona hivi, mkajibu kwamba ni halali kisa Kenya kuna kipindi hupokea chakula kwa ajili ya watu wa maeneo kame.
Ikabidi niwaweke sawa, maana kwanza nyie mnapokea msaada wa kwenye bajeti ya taifa moja kwa moja, pili sisi ni watu wa maeneo kame ndio hujikuta katika hiyo hali maana zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame, ila nyie nchi yote hiyo hamna sehemu hata moja yenye ukame.
Uzi nilianza kwa kulaani Afrika mbona hivi, mkajibu kwamba ni halali kisa Kenya kuna kipindi hupokea chakula kwa ajili ya watu wa maeneo kame.
Ikabidi niwaweke sawa, maana kwanza nyie mnapokea msaada wa kwenye bajeti ya taifa moja kwa moja, pili sisi ni watu wa maeneo kame ndio hujikuta katika hiyo hali maana zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame, ila nyie nchi yote hiyo hamna sehemu hata moja yenye ukame.
Kweli Kabisa tuna kila sababu ya waafrika kujitathimini, UAE inaingia zaidi ya mara 10 kwa Kenya, 100% ya ardhi ni jangwa, lakini wanauwezo wa kujilisha na kuwapa chakula cha msaada Kenya tense ardhi yenye uwezo wa kuzalisha chai ya dunia nzima.
Halafu hapo ndipo anakuja rais anayetaka kuleta mabadiliko, wananchi wake wengi sana wanasema kuwa rais hafai eti ni muuaji, nan kaloga wao sasa, ya Libya hata hatujifunzi...inaonekana watanzania wengi walikuwa wanaishi kijanja kijanja sana...kwa sababu aawamu hii imewabana na wanaonesha chuki liv...mm niliyekuwa naishi kwa jasho langu, sijawah kulalamika hata siku moja....wachen hzo watanzania...achen kuziba macho na maasikio makusudi....mtakuja angukia pabaya zaid.