Afrika imelaaniwa, kainchi kadogo kama Sweden ndo huongoza kutoa misaada kwa nchi kubwa yenye kila kitu kama Tanzania

misaada ya mabilioni ya shilingi ya kununulia condoms

Ndio kitu waswahili hufanya siku zote, hamjui kingine wala kutumia ubongo kujikwamua kutoka kwa huo umaskini.
 
poleni waswahili mazeee dah...hawa mabeberu msiwachukulie poaaa!😂😂
 
MK254,

Hivi wale mafukara wa kibera,wapo tangu lini vile?
Nasikia raisi wenu anamiriki Ardhi kama county ya nandi nzima,lakini mnashindwa kuwasaidia maskini wa kibera
 
Nenda duka lolote Tanzania kama kuna sehemu wanagawa condoms bure unishtue
[emoji23][emoji23][emoji23]umekasirika, ukweli mchungu kumbe. Kwanza zile container ulipata mipira mingapi na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…