Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ya Libya. Kwa hiyo watu wafe tukae kimya eti kisa mtu analeta maendeleo. Hizo zitakuwa akili za kuvukia barabara...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha....hatari sana hiiKuna aibu kubwa ulimwenguni kama Hii? View attachment 1344156
Lol middle economy country kinara kwa kuzungusha bakuli kwa mmarekani
Mmepewa msaada wa condom usisahau[emoji23][emoji23]Kuna aibu kubwa ulimwenguni kama Hii? View attachment 1344156
Nenda duka lolote Tanzania kama kuna sehemu wanagawa condoms bure unishtueMmepewa msaada wa condom usisahau[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]umekasirika, ukweli mchungu kumbe. Kwanza zile container ulipata mipira mingapi na wewe.Nenda duka lolote Tanzania kama kuna sehemu wanagawa condoms bure unishtue