Afrika imelaaniwa, kainchi kadogo kama Sweden ndo huongoza kutoa misaada kwa nchi kubwa yenye kila kitu kama Tanzania

Afrika imelaaniwa, kainchi kadogo kama Sweden ndo huongoza kutoa misaada kwa nchi kubwa yenye kila kitu kama Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kainchi kadogo kenye watu milioni kumi, hawana madini ya maana lakini la kushangaza wao tangu 1960 ndio wamekua tegemeo kubwa la nchi ya Tanzania yenye kila kitu na ardhi kubwa, madini na watu zaidi ya milioni 55, sijui hii aibu Afrika tutaimaliza lini.

Wapi tulikosea, huu uzembe/uvivu na tabia za kuomba omba zitatuisha lini. Kazi kucheza bao siku inaisha.

=======

Sweden cuts aid to Tanzania

Sweden will reduce its assistance to Tanzania in the next five years. The government has decided this on the grounds that Tanzania has a negative development in terms of human rights and democratic space.

The aid will decrease by one quarter from SEK 800 million to SEK 600 million per year.

- We will reduce aid to Tanzania. We have been a major player in the country for many years, as a partner country, but developments in recent years have gone in the wrong direction. Shrinking democratic space, tougher grip on LGBT people and human rights, and also shrinking space for journalists, says Deputy Minister Peter Eriksson.

Ever since the 1960s , Tanzania has been one of Sweden's largest aid countries. But now the government has decided on a one-quarter reduction to SEK 600 million per year over the next five-year period.

 
Kuna aibu kubwa ulimwenguni kama Hii?
2212253_20191114_122517png.png
 
Halafu hapo ndipo anakuja rais anayetaka kuleta mabadiliko, wananchi wake wengi sana wanasema kuwa rais hafai eti ni muuaji, nan kaloga wao sasa, ya Libya hata hatujifunzi...inaonekana watanzania wengi walikuwa wanaishi kijanja kijanja sana...kwa sababu aawamu hii imewabana na wanaonesha chuki liv...mm niliyekuwa naishi kwa jasho langu, sijawah kulalamika hata siku moja....wachen hzo watanzania...achen kuziba macho na maasikio makusudi....mtakuja angukia pabaya zaid.
 
Hivi unajua kukiwa na mwenye akili mmoja, anaeza ongoza msafara wa watu 100? Ndicho kinachofanywa na serikali ya mzungu
 
Mbona hushangai nchi ndogo kama Ujerumani kuipa China development aid? Isitoshe neno aid lina mambo mengi na vitu vingi sana vimejificha, kuanzia Walimu wa kujitolea mpaka Watalii maalumu yote hiyo wanahesabu kama aid, siyo kwamba ni cash transfer tu, hapana.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Si ajabu ukienda kumuuliza magufuli sasa hivi kwanini Tanzania ni masikini anaweza kushindwa kukujibu kabisa!

Yeye mwenyewe hajui wala haelewi nini afanye!

Madhali tu dunia inaendelea kujizungusha kwenye muhimili wake na tunaendelea kupumua, kuna nini cha mno tunaweza kufanya zaidi?

Tuendelee tu kusubiri kudra za madume (mabeberu) ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, for once nakubaliana na MK254, hajaishambulia TZ bali Africa as a whole maana kote hali ni hiyo hiyo.

Hehehe lakini majibu yenu ili kuhalalisha mnasema "hata Kenya".

Swali je, nchi kubwa yenye kila kitu madini, ardhi kubwa na vyote mbona itegemee misaada, mtupatie hata kitalu kimoja cha madini muone.
 
Hehehe lakini majibu yenu ili kuhalalisha mnasema "hata Kenya".
Swali je, nchi kubwa yenye kila kitu madini, ardhi kubwa na vyote mbona itegemee misaada, mtupatie hata kitalu kimoja cha madini muone.

Hamhitaji zaidi, mnakila kitu kama TZ ila bado mna hali mbaya pia.
 
Hamhitaji zaidi, mnakila kitu kama TZ ila bado mna hali mbaya pia.

Kainch ketu kadogo, zaidi ya nusu yake ni jangwa tupu, ila nyie ukubwa wa nchi yenu itabidi tuunganishe Kenya, Uganda na Rwanda ili kuifikia, na hamna jangwa sehemu yoyote, madini kote na vivutio bora vya utalii, lakini bajeti ya taifa mnategemea misaada ya viinchi vidogo vidogo kama Sweden ambao hawana hata madini.
 
misaada ya mabilioni ya shilingi ya kununulia condoms
 
Eti nchi yenye kila kitu. What a joke??!! sisi tulichokosa ni akili tu. Mali bila maarifa hupotea bila habari.
 
Back
Top Bottom