Afrika isiendelee kuwa uwanja wa ushindani wa mataifa makubwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

Afrika isiendelee kuwa uwanja wa ushindani wa mataifa makubwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Afrika isiendelee kuwa uwanja wa ushindani wa mataifa makubwa. Tunapaswa kutumia nafasi yetu ya kimkakati, rasilimali tulizonazo na nguvu ya watu wetu kujiletea maendeleo yenye manufaa kwa wananchi wetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Dar es Salaam - Tanzania.
🗓️Julai 21, 2026.

 
Back
Top Bottom