Uzoefu unaonesha kama africa haitakuwa moja itaendelea kusambaratihswa na wazungu mpaka patakosekana mahali salama pa mwafrica kuishi, mf tunaona/kusoma na news huko Mali,Niger..au nchi za sahel yaa africa ya kati...mfaransa anafadhili magaid wanalipua kambi za jeshi ...aman inakosekana mpaka wananchi wanaamua kuandamana kumg'oa rasi wao wakimtuhumu kushindwa kuleta ulinza ..yeah wananchi wanahak ya kufanya ivo kwan wanahitaji usalama..hapo serkal yao inapaswa kutumia akili sana kupambana na hii hali...tunakumbuka hapo nyuma nchi hiz zilijiondoa kwenye bank ya ufaransa na kudai fedha zao zirejeshwe sasa ktk halii hii ndipo wamejikuta kwenye shida..Hivyo kungelikuwa na jeshi bora la umoja wa africa na waafrica wenyewe wangeweza kulinda mipaka yao vizur na kukomesha hali hii..vile vile kuna haja ya kila nch africa kuwa na utulivu wa kisiasa kwa kuwa na mifumo na idara bora za haki ili kuondoa migogoro ya ndan ambayo inaweza kuwa mwanya wa mabeberu kupitisha uhalifu..nchi ziendeshwe kwa mifumo ya kisheria na demokrasia ili kuwe na utengamano.
Hata katika sekta binafsi kuna rasilimali nyingi sana wazungu wanatuibia huku tukiwa tunafahamu, mfano katika migod kampuni ya kikaburu ndio inapewa tenda ya diesel tank cleaning wakilipwa fedha zinarudi kwao..wakat hapa Tanzania tuna sheli za mafuta nyingi tu kwan na wao wakitaka kusafisha tank zao wanaita wagen????
kingine ni ulinzi katika migodi,, jesi la police limejitahid sana kutoa ulinz imara na uhalifu umekwisha kama sio kupungua lkn pamoja na kaz nzur hiyo kuna wazungu bado wameshikilia nafas za security manager na wakijinasibu eti wao ndo wamefanikisha ulinz,, wanalipwa ma usd wanapeleka kwao wakat ukwel ni kwamba police wetu ndio wamezibit uhalifu..napendekeza hawa wazungu waonolewe na nafas hizo wapewe watanzania eitha wakuu wa majesh waliostaafu waziongoze idara hizi
Africa tuamke ...hii mizungu inaroho mbaya sana imetutumia hiv leo imetupia corona lkn Mungu wetu ni mwema katulinda