Bora wakoloni weupe kuliko ninyi wakoloni weusi.Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia kwao sio tatizo kubwa la kufa au kupona kuwa nalo.
Waafrika wanaishi bila shida kwenye mazingira ambayo jamii inashuhudia kuona wanawake hata wasomi kabisa wananyimwa urithi wa wazazi wao na haki ya kumiliki ardhi ya familia. Jamii iko tayari kuona mabinti wao wanakeketwa, kuozwa bila idhini yao, kufungishwa ndoa wangali wadogo kabisa na wakinamama na watoto kupigwa bila kupewa muda wa kusikilizwa. Huko mashuleni na vyuoni pia hakuna demokrasia, utafanya kile utakachoagizwa kufanya na mwalimu na usipofanya utaadhibiwa. Jamii imezoa na haina shida kuuubwa ya ukosefu wa haki na demokrasia.
Wakoloni wanaotamani kurudi tena kututawala kwa mlango wa nyuma wanatuambia hapana, msiishi hivyo, lazima muwe na demokrasia na haki kama zetu huku. Kuna watu wanaona hawa wazungu wanatupenda saaana na kutuonea huruma na kututakia mema. Kumbe wao wana hesabu zao nyuma ya mgongo wamezificha. Na miongoni mwa sababu hizo ni:
1. Haki/demokrasia ni njia mbaya kwa uzalishaji mali kuliko kutumia nguvu/udikteda. Wao walijilimbikizia mali hii waliyonayo sasa kwa kutumia malizi za wizi kutoka kwenye makoloni, watumwa na bei huria ya bidhaa zao.
2. Demokrasia na haki nyingi itasababisha jamii kulumbana, kupigana na kunyang'anyana haki. malumbano haya yatawapunguzia uzalishaji na uimara wa serikali na wao wataunga mkono upande au pande zote kwa nyakati tofauti ili kuuza silaha au kuziangusha serikali na kuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya. Wakishakuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya watakuwa sehemu ya mipango ya nchi na rasilimali za nchi husika hivyo kuwa wa kwanza kuingia mikataba ya kiuchumi na kiulinzi na nani auziwe nini.
3. Kama lumbano yakiwa makubwa ya kudai haki, serikali tawala zitalazimika kuwa na jeshi kumbwa la kulinda dola lenye silaha za kisasa ambazo watazinunua kutoka kwa wakoloni kwa gharama kubwa, na wapinzani nao hivyohivyo. Kuwa na jeshi kubwa sana kunalifilisi taifa.
Dawa pekee ni kuongoza kwa mkono wa chuma dhidi ya wadai demokrasia wanaopewa misaada na wakoloni. Wakati huohuo kuwa na sera nzuri za kubana matumizi na kushuhulikia wala rusha na wabadhilifu wa mali za umma ndani ya serikali kuhakikisha nchi na wananchi wanafaidi rasilimali za nchi yao.
Hakuna kucheka na wadai demokrasia za magharibi wakati ndani ya familia zao hakuna demokrasia.
Kuna vizee vile vya miaka ile ya enzi za utumwa ambavyo aliviita siku ile pale ukumbini baada ya kufanya mauaji akawa anaongea navyo vikikusikia unasema hivyo kwamba mjerumani arudi kuwafanya watumwa awacharaze bakora za matako km alivyokua anafanya Carl Peters watalia sana machoziuliloliongelea ndio linafanyika sasa sema tu kwa Tanzania hakuna kikundi au jeshi hasi, mifumo ya manunuzi ni hiyo hiyo ya kifisadi, silaha za jeshi zinanunuliwa na madalali na wa kuu wa majeshi wapo, mimi binafsi ikitokea waingereza au wajerumani wanakuja tena kututawala nitaona ndio vizuri zaidi kuliko hawa kina sahamsini na mugulu
Bora warudi wakoloni weupe wanaubinadamu kuliko hawa weusi.Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia kwao sio tatizo kubwa la kufa au kupona kuwa nalo.
Waafrika wanaishi bila shida kwenye mazingira ambayo jamii inashuhudia kuona wanawake hata wasomi kabisa wananyimwa urithi wa wazazi wao na haki ya kumiliki ardhi ya familia. Jamii iko tayari kuona mabinti wao wanakeketwa, kuozwa bila idhini yao, kufungishwa ndoa wangali wadogo kabisa na wakinamama na watoto kupigwa bila kupewa muda wa kusikilizwa. Huko mashuleni na vyuoni pia hakuna demokrasia, utafanya kile utakachoagizwa kufanya na mwalimu na usipofanya utaadhibiwa. Jamii imezoa na haina shida kuuubwa ya ukosefu wa haki na demokrasia.
Wakoloni wanaotamani kurudi tena kututawala kwa mlango wa nyuma wanatuambia hapana, msiishi hivyo, lazima muwe na demokrasia na haki kama zetu huku. Kuna watu wanaona hawa wazungu wanatupenda saaana na kutuonea huruma na kututakia mema. Kumbe wao wana hesabu zao nyuma ya mgongo wamezificha. Na miongoni mwa sababu hizo ni:
1. Haki/demokrasia ni njia mbaya kwa uzalishaji mali kuliko kutumia nguvu/udikteda. Wao walijilimbikizia mali hii waliyonayo sasa kwa kutumia malizi za wizi kutoka kwenye makoloni, watumwa na bei huria ya bidhaa zao.
2. Demokrasia na haki nyingi itasababisha jamii kulumbana, kupigana na kunyang'anyana haki. malumbano haya yatawapunguzia uzalishaji na uimara wa serikali na wao wataunga mkono upande au pande zote kwa nyakati tofauti ili kuuza silaha au kuziangusha serikali na kuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya. Wakishakuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya watakuwa sehemu ya mipango ya nchi na rasilimali za nchi husika hivyo kuwa wa kwanza kuingia mikataba ya kiuchumi na kiulinzi na nani auziwe nini.
3. Kama lumbano yakiwa makubwa ya kudai haki, serikali tawala zitalazimika kuwa na jeshi kumbwa la kulinda dola lenye silaha za kisasa ambazo watazinunua kutoka kwa wakoloni kwa gharama kubwa, na wapinzani nao hivyohivyo. Kuwa na jeshi kubwa sana kunalifilisi taifa.
Dawa pekee ni kuongoza kwa mkono wa chuma dhidi ya wadai demokrasia wanaopewa misaada na wakoloni. Wakati huohuo kuwa na sera nzuri za kubana matumizi na kushuhulikia wala rusha na wabadhilifu wa mali za umma ndani ya serikali kuhakikisha nchi na wananchi wanafaidi rasilimali za nchi yao.
Hakuna kucheka na wadai demokrasia za magharibi wakati ndani ya familia zao hakuna demokrasia.
Walishajaribu wengi lakini mwisho wake huwa ni anguko..Dawa pekee ni kuongoza kwa mkono wa chuma dhidi ya wadai demokrasia wanaopewa misaada na wakoloni.
Ng’ombe wa mama mnahangaika sana, but you’re fighting a losing battle!Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia kwao sio tatizo kubwa la kufa au kupona kuwa nalo.
Waafrika wanaishi bila shida kwenye mazingira ambayo jamii inashuhudia kuona wanawake hata wasomi kabisa wananyimwa urithi wa wazazi wao na haki ya kumiliki ardhi ya familia. Jamii iko tayari kuona mabinti wao wanakeketwa, kuozwa bila idhini yao, kufungishwa ndoa wangali wadogo kabisa na wakinamama na watoto kupigwa bila kupewa muda wa kusikilizwa. Huko mashuleni na vyuoni pia hakuna demokrasia, utafanya kile utakachoagizwa kufanya na mwalimu na usipofanya utaadhibiwa. Jamii imezoa na haina shida kuuubwa ya ukosefu wa haki na demokrasia.
Wakoloni wanaotamani kurudi tena kututawala kwa mlango wa nyuma wanatuambia hapana, msiishi hivyo, lazima muwe na demokrasia na haki kama zetu huku. Kuna watu wanaona hawa wazungu wanatupenda saaana na kutuonea huruma na kututakia mema. Kumbe wao wana hesabu zao nyuma ya mgongo wamezificha. Na miongoni mwa sababu hizo ni:
1. Haki/demokrasia ni njia mbaya kwa uzalishaji mali kuliko kutumia nguvu/udikteda. Wao walijilimbikizia mali hii waliyonayo sasa kwa kutumia malizi za wizi kutoka kwenye makoloni, watumwa na bei huria ya bidhaa zao.
2. Demokrasia na haki nyingi itasababisha jamii kulumbana, kupigana na kunyang'anyana haki. malumbano haya yatawapunguzia uzalishaji na uimara wa serikali na wao wataunga mkono upande au pande zote kwa nyakati tofauti ili kuuza silaha au kuziangusha serikali na kuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya. Wakishakuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya watakuwa sehemu ya mipango ya nchi na rasilimali za nchi husika hivyo kuwa wa kwanza kuingia mikataba ya kiuchumi na kiulinzi na nani auziwe nini.
3. Kama lumbano yakiwa makubwa ya kudai haki, serikali tawala zitalazimika kuwa na jeshi kumbwa la kulinda dola lenye silaha za kisasa ambazo watazinunua kutoka kwa wakoloni kwa gharama kubwa, na wapinzani nao hivyohivyo. Kuwa na jeshi kubwa sana kunalifilisi taifa.
Dawa pekee ni kuongoza kwa mkono wa chuma dhidi ya wadai demokrasia wanaopewa misaada na wakoloni. Wakati huohuo kuwa na sera nzuri za kubana matumizi na kushuhulikia wala rusha na wabadhilifu wa mali za umma ndani ya serikali kuhakikisha nchi na wananchi wanafaidi rasilimali za nchi yao.
Hakuna kucheka na wadai demokrasia za magharibi wakati ndani ya familia zao hakuna demokrasia.
Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia kwao sio tatizo kubwa la kufa au kupona kuwa nalo.
Waafrika wanaishi bila shida kwenye mazingira ambayo jamii inashuhudia kuona wanawake hata wasomi kabisa wananyimwa urithi wa wazazi wao na haki ya kumiliki ardhi ya familia. Jamii iko tayari kuona mabinti wao wanakeketwa, kuozwa bila idhini yao, kufungishwa ndoa wangali wadogo kabisa na wakinamama na watoto kupigwa bila kupewa muda wa kusikilizwa. Huko mashuleni na vyuoni pia hakuna demokrasia, utafanya kile utakachoagizwa kufanya na mwalimu na usipofanya utaadhibiwa. Jamii imezoa na haina shida kuuubwa ya ukosefu wa haki na demokrasia.
Wakoloni wanaotamani kurudi tena kututawala kwa mlango wa nyuma wanatuambia hapana, msiishi hivyo, lazima muwe na demokrasia na haki kama zetu huku. Kuna watu wanaona hawa wazungu wanatupenda saaana na kutuonea huruma na kututakia mema. Kumbe wao wana hesabu zao nyuma ya mgongo wamezificha. Na miongoni mwa sababu hizo ni:
1. Haki/demokrasia ni njia mbaya kwa uzalishaji mali kuliko kutumia nguvu/udikteda. Wao walijilimbikizia mali hii waliyonayo sasa kwa kutumia malizi za wizi kutoka kwenye makoloni, watumwa na bei huria ya bidhaa zao.
2. Demokrasia na haki nyingi itasababisha jamii kulumbana, kupigana na kunyang'anyana haki. malumbano haya yatawapunguzia uzalishaji na uimara wa serikali na wao wataunga mkono upande au pande zote kwa nyakati tofauti ili kuuza silaha au kuziangusha serikali na kuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya. Wakishakuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya watakuwa sehemu ya mipango ya nchi na rasilimali za nchi husika hivyo kuwa wa kwanza kuingia mikataba ya kiuchumi na kiulinzi na nani auziwe nini.
3. Kama lumbano yakiwa makubwa ya kudai haki, serikali tawala zitalazimika kuwa na jeshi kumbwa la kulinda dola lenye silaha za kisasa ambazo watazinunua kutoka kwa wakoloni kwa gharama kubwa, na wapinzani nao hivyohivyo. Kuwa na jeshi kubwa sana kunalifilisi taifa.
Dawa pekee ni kuongoza kwa mkono wa chuma dhidi ya wadai demokrasia wanaopewa misaada na wakoloni. Wakati huohuo kuwa na sera nzuri za kubana matumizi na kushuhulikia wala rusha na wabadhilifu wa mali za umma ndani ya serikali kuhakikisha nchi na wananchi wanafaidi rasilimali za nchi yao.
Hakuna kucheka na wadai demokrasia za magharibi wakati ndani ya familia zao hakuna demokrasia.
Kwani hao wakoloni waliwahi kuondoka Afrika?Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia kwao sio tatizo kubwa la kufa au kupona kuwa nalo.
Waafrika wanaishi bila shida kwenye mazingira ambayo jamii inashuhudia kuona wanawake hata wasomi kabisa wananyimwa urithi wa wazazi wao na haki ya kumiliki ardhi ya familia. Jamii iko tayari kuona mabinti wao wanakeketwa, kuozwa bila idhini yao, kufungishwa ndoa wangali wadogo kabisa na wakinamama na watoto kupigwa bila kupewa muda wa kusikilizwa. Huko mashuleni na vyuoni pia hakuna demokrasia, utafanya kile utakachoagizwa kufanya na mwalimu na usipofanya utaadhibiwa. Jamii imezoa na haina shida kuuubwa ya ukosefu wa haki na demokrasia.
Wakoloni wanaotamani kurudi tena kututawala kwa mlango wa nyuma wanatuambia hapana, msiishi hivyo, lazima muwe na demokrasia na haki kama zetu huku. Kuna watu wanaona hawa wazungu wanatupenda saaana na kutuonea huruma na kututakia mema. Kumbe wao wana hesabu zao nyuma ya mgongo wamezificha. Na miongoni mwa sababu hizo ni:
1. Haki/demokrasia ni njia mbaya kwa uzalishaji mali kuliko kutumia nguvu/udikteda. Wao walijilimbikizia mali hii waliyonayo sasa kwa kutumia malizi za wizi kutoka kwenye makoloni, watumwa na bei huria ya bidhaa zao.
2. Demokrasia na haki nyingi itasababisha jamii kulumbana, kupigana na kunyang'anyana haki. malumbano haya yatawapunguzia uzalishaji na uimara wa serikali na wao wataunga mkono upande au pande zote kwa nyakati tofauti ili kuuza silaha au kuziangusha serikali na kuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya. Wakishakuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya watakuwa sehemu ya mipango ya nchi na rasilimali za nchi husika hivyo kuwa wa kwanza kuingia mikataba ya kiuchumi na kiulinzi na nani auziwe nini.
3. Kama lumbano yakiwa makubwa ya kudai haki, serikali tawala zitalazimika kuwa na jeshi kumbwa la kulinda dola lenye silaha za kisasa ambazo watazinunua kutoka kwa wakoloni kwa gharama kubwa, na wapinzani nao hivyohivyo. Kuwa na jeshi kubwa sana kunalifilisi taifa.
Dawa pekee ni kuongoza kwa mkono wa chuma dhidi ya wadai demokrasia wanaopewa misaada na wakoloni. Wakati huohuo kuwa na sera nzuri za kubana matumizi na kushuhulikia wala rusha na wabadhilifu wa mali za umma ndani ya serikali kuhakikisha nchi na wananchi wanafaidi rasilimali za nchi yao.
Hakuna kucheka na wadai demokrasia za magharibi wakati ndani ya familia zao hakuna demokrasia.
Kule Uarabuni watawala hawakusoma lakini kuna maadili na kuchinjwa kama utakula rushwa, China hivyohivyo.Uko sawa kabisa,,,shida ya Afrika ni hao viongozi wataongoza kwa ajili yao siyo wananchi... Bila kuwa na mfumo mmoja wa maisha nchi haiendelei..