Afrika isiposimama imara, wakoloni watarudi tena kwa njia ya Demokrasia

🚮
Wacha propaganda wee chawa.

Hata sasa nchi inatawaliwa na wakoloni weusi ambao ni wezi, mafisadi, wauaji wa wananchi wasio na hatia.

Bora wakoloni weupe hawakuwa wanateka, kufira na kuuwa wananchi.

Kama ni raslimali za taifa, karibu zote Wahuni wa sasa wameshagawa kwa Waarabu, Wachina, Wazungu, nk kwa maslahi yao binafsi
 
Kwani hao wakoloni waliwahi kuondoka Afrika?
Jaribu kufikiri kwa kina sometimes na ujiulize hao wanaoitwa wawekezaji ni kina nani! Unaijua dhana ya utandawazi?
Ukoloni haukuwahi kuondoka Africa na mlichopewa waafrika ni bendera tu na unaitwa uhuru wa bendera.
Tunajua kuwa hawakuhi kuondoka lakini Nyerere alikuwa mkali sana kwa vibaraka na waliojaribu kuitikisa serikali. Sasa hivi mtu aliyetaka kuipindua serikali anabwata huku na huko nchini kwenye barabara zilezile ilizojenga serikali na wanazotaka kuzichoma moto.
 
Ng’ombe wa mama mnahangaika sana, but you’re fighting a losing battle!
Uzuri wa tz na ccm inaweza kujigeuza kuwa serikali ya nusu mkate kati ya CCM na jeshi na kuwa kama Uganda, Rwanda, Burundi, Burkina faso, nk. Watu hawalijui hilo.

Tangu tupate Uhuru 1961 na muungano 1964 unadhani hakujakuwa na watu waliotaka kuipindua serikali? Unadhani walishindwaje? Hata nyie mtashindwa tu, tena nyie ndiye mtakaoshindwa vibaya sana.
 
Fikra mbaya kabisa kwa binadamu.
Pigania Uhuru wako kutoka kwa yeyote.
Fundisha watoto na watu wako kupigania uhuru bila kujali rangi.
Mtoto yuko pale anashuhudia kaka zake wanagawana ardhi ya baba yao huku yeye akinyimwa kipuuzi kabisa. Haki ipi unamfundisha mtoto apiganie? Haki ya kwanza lazime iwe ile ya kwenye shina. Umeandika urithi ambao baadhi ya watoto umewanyima halafu unasimama jukwaani kupiga kelele za piiiiiiipoooooz haki sawa kwa wote huko Ikulu huku ukijua kuwa dada zako umewapunja mali za marehemu baba yenu.. majinga sana haya. Ukishamaliza kumkeketa binti yako bila hiari yake unapanda jukwaani kudai haki Ikulu; kwanini usianze kwanza kuwapa haki zao binti zako kwenye familia, ukoo na kabila kabla ya kudai haki Ikulu?
 
Tunajua kuwa hawakuhi kuondoka lakini Nyerere alikuwa mkali sana kwa vibaraka na waliojaribu kuitikisa serikali. Sasa hivi mtu aliyetaka kuipindua serikali anabwata huku na huko nchini kwenye barabara zilezile ilizojenga serikali na wanazotaka kuzichoma moto.
Hujui unachokiandika hapa. Bora kukaa na hoja zako mfu. By the way, una umri gani?
Pia epuka sana kuzizingatia propaganda ulizokaririshwa shuleni kwani hazikuwa na uhalisia na ukweli wowote.
 
Uzuri wa tz na ccm inaweza kujigeuza kuwa serikali ya nusu mkate kati ya CCM na jeshi na kuwa kama Uganda, Rwanda, Burundi, Burkina faso, nk. Watu hawalijui hilo.

Tangu tupate Uhuru 1961 na muungano 1964 unadhani hakujakuwa na watu waliotaka kuipindua serikali? Unadhani walishindwaje? Hata nyie mtashindwa tu, tena nyie ndiye mtakaoshindwa vibaya sana.
Ficha upumbavu. Hakuna coup inayofanywa kwa maandamano. Wananchi kumkataa kiongozi muovu sio coup!
 
Mtoto yuko pale anashuhudia kaka zake wanagawana ardhi ya baba yao huku yeye akinyimwa kipuuzi kabisa. Haki ipi unamfundisha mtoto apiganie? Haki ya kwanza lazime iwe ile ya kwenye shina. Umeandika urithi ambao baadhi ya watoto umewanyima halafu unasimama jukwaani kupiga kelele za piiiiiiipoooooz haki sawa kwa wote huko Ikulu huku ukijua kuwa dada zako umewapunja mali za marehemu baba yenu.. majinga sana haya. Ukishamaliza kumkeketa binti yako bila hiari yake unapanda jukwaani kudai haki Ikulu; kwanini usianze kwanza kuwapa haki zao binti zako kwenye familia, ukoo na kabila kabla ya kudai haki Ikulu?
Mtu yeyote awe mzima au mtoto anatakiwa afundishwe utayari wa kupambania haki na Uhuru wake.
Huo ndiyo msingi wa kupambania urithi, kupinga kukeketwa n.k.
Siyo kuwafundisha wawe watumwa wa kuchagua mabwana.
Changamoto kubwa ni fikra za utumwa na utegemezi kwa wengi kutegemea kufanyiwa na vyama vya siasa, serikali na hata wageni kutoka nje ya nchi.
 
Nilisema Chadema ni wakala wa wakoloni.

Ipo siku mtakumbuka hii kauli.
 
Kimsingi Afrika yote hakuna demokrasia wala haki kama zile zinazotangazwa na nchi za Magharibi tuwe nazo. watu wetu wameishi kwenye hali hiyo hadi sasa bila shida sana. Hivyo ukosefu wa demokrasia kwao sio tatizo kubwa la kufa au kupona kuwa nalo.

Waafrika wanaishi bila shida kwenye mazingira ambayo jamii inashuhudia kuona wanawake hata wasomi kabisa wananyimwa urithi wa wazazi wao na haki ya kumiliki ardhi ya familia. Jamii iko tayari kuona mabinti wao wanakeketwa, kuozwa bila idhini yao, kufungishwa ndoa wangali wadogo kabisa na wakinamama na watoto kupigwa bila kupewa muda wa kusikilizwa. Huko mashuleni na vyuoni pia hakuna demokrasia, utafanya kile utakachoagizwa kufanya na mwalimu na usipofanya utaadhibiwa. Jamii imezoa na haina shida kuuubwa ya ukosefu wa haki na demokrasia.

Wakoloni wanaotamani kurudi tena kututawala kwa mlango wa nyuma wanatuambia hapana, msiishi hivyo, lazima muwe na demokrasia na haki kama zetu huku. Kuna watu wanaona hawa wazungu wanatupenda saaana na kutuonea huruma na kututakia mema. Kumbe wao wana hesabu zao nyuma ya mgongo wamezificha. Na miongoni mwa sababu hizo ni:

1. Haki/demokrasia ni njia mbaya kwa uzalishaji mali kuliko kutumia nguvu/udikteda. Wao walijilimbikizia mali hii waliyonayo sasa kwa kutumia malizi za wizi kutoka kwenye makoloni, watumwa na bei huria ya bidhaa zao.

2. Demokrasia na haki nyingi itasababisha jamii kulumbana, kupigana na kunyang'anyana haki. malumbano haya yatawapunguzia uzalishaji na uimara wa serikali na wao wataunga mkono upande au pande zote kwa nyakati tofauti ili kuuza silaha au kuziangusha serikali na kuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya. Wakishakuwa sehemu ya utawala wa serikali mpya watakuwa sehemu ya mipango ya nchi na rasilimali za nchi husika hivyo kuwa wa kwanza kuingia mikataba ya kiuchumi na kiulinzi na nani auziwe nini.

3. Kama lumbano yakiwa makubwa ya kudai haki, serikali tawala zitalazimika kuwa na jeshi kumbwa la kulinda dola lenye silaha za kisasa ambazo watazinunua kutoka kwa wakoloni kwa gharama kubwa, na wapinzani nao hivyohivyo. Kuwa na jeshi kubwa sana kunalifilisi taifa.

Dawa pekee ni kuongoza kwa mkono wa chuma dhidi ya wadai demokrasia wanaopewa misaada na wakoloni. Wakati huohuo kuwa na sera nzuri za kubana matumizi na kushuhulikia wala rusha na wabadhilifu wa mali za umma ndani ya serikali kuhakikisha nchi na wananchi wanafaidi rasilimali za nchi yao.

Hakuna kucheka na wadai demokrasia za magharibi wakati ndani ya familia zao hakuna demokrasia.
Lakini tuseme ukweli...
Bora wakoloni wazungu kuliko hawa weusi!
 
Sasa mbona Africa hakuna demokrasia na uzalishaji ni duni, jamii zinalumbana na majeshi ndio yanaongoza kuchukua pesa za bajeti za nchi??
 
Hao wachina na waarabu waliojazana bongo na wengine wamepora rasilimali muhimu, wameletwa na nani ?
 
Uzi mzuri wa mwaka
 
Back
Top Bottom