Afrika isiposimama imara, wakoloni watarudi tena kwa njia ya Demokrasia

Afrika isiposimama imara, wakoloni watarudi tena kwa njia ya Demokrasia
🚮
Wacha propaganda wee chawa.

Hata sasa nchi inatawaliwa na wakoloni weusi ambao ni wezi, mafisadi, wauaji wa wananchi wasio na hatia.

Bora wakoloni weupe hawakuwa wanateka, kufira na kuuwa wananchi.

Kama ni raslimali za taifa, karibu zote Wahuni wa sasa wameshagawa kwa Waarabu, Wachina, Wazungu, nk kwa maslahi yao binafsi
 
Bora warudi wakoloni weupe wanaubinadamu kuliko hawa weusi.
Fikra mbaya kabisa kwa binadamu.
Pigania Uhuru wako kutoka kwa yeyote.
Fundisha watoto na watu wako kupigania uhuru bila kujali rangi.
 
Tunajua kuwa hawakuhi kuondoka lakini Nyerere alikuwa mkali sana kwa vibaraka na waliojaribu kuitikisa serikali. Sasa hivi mtu aliyetaka kuipindua serikali anabwata huku na huko nchini kwenye barabara zilezile ilizojenga serikali na wanazotaka kuzichoma moto.
 
Ng’ombe wa mama mnahangaika sana, but you’re fighting a losing battle!
Uzuri wa tz na ccm inaweza kujigeuza kuwa serikali ya nusu mkate kati ya CCM na jeshi na kuwa kama Uganda, Rwanda, Burundi, Burkina faso, nk. Watu hawalijui hilo.

Tangu tupate Uhuru 1961 na muungano 1964 unadhani hakujakuwa na watu waliotaka kuipindua serikali? Unadhani walishindwaje? Hata nyie mtashindwa tu, tena nyie ndiye mtakaoshindwa vibaya sana.
 
Fikra mbaya kabisa kwa binadamu.
Pigania Uhuru wako kutoka kwa yeyote.
Fundisha watoto na watu wako kupigania uhuru bila kujali rangi.
Mtoto yuko pale anashuhudia kaka zake wanagawana ardhi ya baba yao huku yeye akinyimwa kipuuzi kabisa. Haki ipi unamfundisha mtoto apiganie? Haki ya kwanza lazime iwe ile ya kwenye shina. Umeandika urithi ambao baadhi ya watoto umewanyima halafu unasimama jukwaani kupiga kelele za piiiiiiipoooooz haki sawa kwa wote huko Ikulu huku ukijua kuwa dada zako umewapunja mali za marehemu baba yenu.. majinga sana haya. Ukishamaliza kumkeketa binti yako bila hiari yake unapanda jukwaani kudai haki Ikulu; kwanini usianze kwanza kuwapa haki zao binti zako kwenye familia, ukoo na kabila kabla ya kudai haki Ikulu?
 
Hujui unachokiandika hapa. Bora kukaa na hoja zako mfu. By the way, una umri gani?
Pia epuka sana kuzizingatia propaganda ulizokaririshwa shuleni kwani hazikuwa na uhalisia na ukweli wowote.
 
Ficha upumbavu. Hakuna coup inayofanywa kwa maandamano. Wananchi kumkataa kiongozi muovu sio coup!
 
Mtu yeyote awe mzima au mtoto anatakiwa afundishwe utayari wa kupambania haki na Uhuru wake.
Huo ndiyo msingi wa kupambania urithi, kupinga kukeketwa n.k.
Siyo kuwafundisha wawe watumwa wa kuchagua mabwana.
Changamoto kubwa ni fikra za utumwa na utegemezi kwa wengi kutegemea kufanyiwa na vyama vya siasa, serikali na hata wageni kutoka nje ya nchi.
 
Nilisema Chadema ni wakala wa wakoloni.

Ipo siku mtakumbuka hii kauli.
 
Lakini tuseme ukweli...
Bora wakoloni wazungu kuliko hawa weusi!
 
Sasa mbona Africa hakuna demokrasia na uzalishaji ni duni, jamii zinalumbana na majeshi ndio yanaongoza kuchukua pesa za bajeti za nchi??
 
Hao wachina na waarabu waliojazana bongo na wengine wamepora rasilimali muhimu, wameletwa na nani ?
 
Uzi mzuri wa mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…