Afrika katika uasi: Je, ukombozi wa pili dhidi ya ukoloni uko kwenye upeo wa macho?

Hivi hamjaelewa kuwa Taliban baada ya kumyuka USA na NATO wake, Al Qaeda wamepata nguvu huko Afrika Magharibi?

Mkisoma hamuelewi basi hata movie linavyoenda hamuoni?
Alqaeda ni tawi la USA kuzifanya nchi zisiwe stable ili wapore mali
 
Chambuzi la kidini ndio Huwa unazielewa
 
Wale wanapigania maslai ya dunia kupitia mgongo wa dini ili kupata cheap labour kwa kuwa rain wash makobazi
Siku ukielewa kuwa wote unaowaita "wapigania dini" waliundwa na wasiokuwa na dini ndipo utakapo elewa kuwa huelewi.
 
Siku ukielewa kuwa wote unaowaita "wapigania dini" waliundwa na wasiokuwa na dini ndipo utakapo elewa kuwa huelewi.
Naelewa Hilo kitambo hakuna dini inayopiganiwa hapo isipokuwa maslai ya dunia tu
 
Niger wakifanikiwa Kwa hili,Nchi zingine zitaiga.

Viongozi wa Afrika wasiwasi wao upo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…