Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

Sabinus siyo mchekeshaji, ni komedian tuu wa mtaani kama akina Dulivani.

Yani huyo jamaa ni sawa na kumlinganisha Eric Omondi na Crazy Kenar.

Huyo jamaa ni mtengeneza social media memes tuu lakini hana uchekeshaji wowote.
Nakubaliana na wewe, hata kina Joti wangekua wanaweza kuongea English Vizuri wangeweza tu kwenda kupiga Show nje!

Eric Omondi mbona anafanya Show sana Europe na USA.
 
Nakubaliana na wewe, hata kina Joti wangekua wanaweza kuongea English Vizuri wangeweza tu kwenda kupiga Show nje!

Eric Omondi mbona anafanya Show sana Europe na USA.
Anafanya wapi mkuu embu leta list of tour yake?
 
Hapo hata mimi huwa ananifurahisha mno
nilikua namfatilia sana comedian wa Kenya anaitwa Alex Mathenge ila nilipopata chaka la Sabinus nikaweka kambi kwanza kwa huyu mwamba.
 
Anafanya wapi mkuu embu leta list of tour yake?
Dubai.

Eric amefanya show nje toka miaka mingi, kuna tour Omondi kafanya Europe miaka 5 mpaka 9 iliyopita.

Hii ya majuzi Qatar
 
nilikua namfatilia sana comedian wa Kenya anaitwa Alex Mathenge ila nilipopata chaka la Sabinus nikaweka kambi kwanza kwa huyu mwamba.
Ukiwaambia watu wanabisha sabinus ni kituko utacheka tu
 
Dubai.

Eric amefanya show nje toka miaka mingi, kuna tour Omondi kafanya Europe miaka 5 mpaka 9 iliyopita.

Hii ya majuzi Qatar
Kumbe ni hizi shows za uchochoroni. Hizi anazo-perfom mbele ya ''wabeba box'' na inner circles zao? Nilidhani ni zile za kufanyia kwenye kumbi zinazoeleweka.
 
Kumbe ni hizi shows za uchochoroni. Hizi anazo-perfom mbele ya ''wabeba box'' na inner circles zao? Nilidhani ni zile za kufanyia kwenye kumbi zinazoeleweka.
Tell him
 
Kuna mtu kakuambia hapo juu Trevor Noah. Na ukamkataa kuwa hamfikii jamaa wakati humjui. .

Kifupi tu hakuna comedian Africa anayemfikia Trevor Noah. .
Hakuna hajanichekesha
 
Hakuna hajanichekesha
Nijibu kwa hoja.
kitu nachopenda kama commedy. Na movie nazoangamia nying za commedy. Kwenye laptop tu nina series asilimia 90 commedy. Nilinunua external nijaze tu commedy kwa hiyo kama mdau wa commedy Africa hakuna kama Trevor Noah. .

Jamiiforums ni kitovu Cha maarifa, basi America commedy central ni kitovu Cha commedy. Trevor Noah kaajiriwa commedy central America kipindi ambacho kinafatiliwa na watu wengi duniani na yeye ndio kivutio Cha kipindi. .

Tufafanulie Sabinus kamzidi nini Trevor? Muigizaji huwezi mfananisha na mtu anafanya stand up commedy kazi yake ni kuchekesha. Hata jamaa wa Uganda Salvador Yuko mbali sana. .

Ukiachana na movie kukuonyesha nafatilua commedy nitaweka series kuntu za commedy duniani ambazo naweza hata zipiga picha kwa PC uone:
1. Friends
2. Seinfeld
3. Big Bang theory
4. Malcolm in the middle
5. Wonder years
6. Fraiser
7. Brooklyn nine nine
8. Cheers
9. Mom
10. Fresh from the boat
11. Scrubs
12. Bob hears Abishola
13. Boys meet world
14. Guys with kids
15. Melissa and Joey
16 raising hope
17. Shirts creek
18. Marvelous Mrs maisel
19. The office
20. Young Sheldon
21. Atlanta FX
22. That 70s Show
23. Freaks and Geeks
ETC

Kama wewe mdau wa commedy unaweza tolea kigezo gani umepe jamaa number Moja Africa?

Thank you. .
 
Travor kinachombeba ni ukaburu basi alichomzidi sabinus ni Rangi tu

Asa travor anachekesha kitu gani ivi umemuangalia sabinus kweli au ndo ulimuana tu kwenye nyimbo ya BUGA
 
Ndo Nani mbona Afrika hatumjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…