Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

Afrika kuna mchekeshaji bora kumzidi Sabinus?

Professor Hammo ni kichwa ana ubunifu wa pekee. Ana nafasi ya kufika mbali sana. Akifanya show moja nzuri bongo hapa nilipenda San. Na churchil show anaitendea vyema. .

Huyu anaandika tu hawezi wajua true comedian wanableed and sweat commedy. .
Ile aliyokuja bongo wale jamaa wa cheka tuu wanapiga dk 10 tuu hoi labda mc madevu anajitaid..
mwamba prof Hammo alipiga zaid ya dk 40.. na zote ni fire🤣
 
Ile aliyokuja bongo wale jamaa wa cheka tuu wanapiga dk 10 tuu hoi labda mc madevu anajitaid..
mwamba prof Hammo alipiga zaid ya dk 40.. na zote ni fire🤣
Mie napenda commedy sana kwa kuwa nilikuwa Nina ndoto za kuwa stand up commedian. Nilikuw naandika scrip za commedy nzuri tu. .

Bahati nzuri mwaka 2018 nilikuw Niko kwenye circle nzuri ya watu maarufu America. One of a friend alikuw pia ana friend ambae ni commedian nakumbuka nilimuonyesha some scripts akasema good writing tho alinambia Sina maneno mengi ya kingereza. Ila alinipa USD 4000 nimuuzie commedy zangu. .

Nilikuwa pia nina autograph za two commedian one of them is well known. Nikaja ziuza kwa jamaa mmoja Yuko Switzerland. .

Ila now hapa home nimebakia na autograph ya mzee mmoja maarufu pia anaitwa Robert Crumb. .
 
Unajua mzee wangu Huwa akiwaona mzee Onyango na Mwita wakichekesha mzee anacheka Hana mbavu. Sasa mie naona wanazungumza tu[emoji1][emoji1]
Ndo ivyo nakuona wewe. Hujui chochote[emoji51]

Trevor sio mkaburu nadhani unabathatisha tu kwa kuwa ni mweupe. .

Hata Kuna Anne Kansiime bado Sabinus hampati. Mie namkubali Njugushi wa Kenya kuliko hata huyo Sabinus kwenye commedy bado ndo anaanza labda hapo baadae.

Kwanza Kuna akina
1. Salvador wa Uganda
2. Basket mouth
3. Professor Hammo
Nachoka hata kuandika bado huyo Sabinus Yuko nyuma sana kwenye line. Endelea kubisha ila hujui chochote umeshiba na umeamua kutuchosha. .

Ila kichwa Cha habari umeuliza Kun anayemzidi Sabinus tunakutajia unakata[emoji1]
Umeandikaa takataka sabinus noma
 
Mleta uzi umekaza ubongo hatari, unataka wote waone huyo jamaa yako anachekesha kuliko wote wakati kila mtu ana machaguo yake.

Umeoneshwa mafanikio ya wengine waliomzidi mwamba bado umekazaa.

Nimemcheki ni kawaida tu mbona.
Waanzishe nyuzi zao sijaita mtu umu
 
Stand up commedy ni wachekeshaji halisi.... hawa wa clip wakae kando kwanza...

Afuatilie show za church hill akutane na viChaa. kama prof Harmo
Tunataka wachekeshaj vichaa tunao mtaani
 
Professor Hammo ni kichwa ana ubunifu wa pekee. Ana nafasi ya kufika mbali sana. Akifanya show moja nzuri bongo hapa nilipenda San. Na churchil show anaitendea vyema. .

Huyu anaandika tu hawezi wajua true comedian wanableed and sweat commedy. .
Sabinus bongo mnahela ya kumlipa?

Mtu daily show UK
 
Ile aliyokuja bongo wale jamaa wa cheka tuu wanapiga dk 10 tuu hoi labda mc madevu anajitaid..
mwamba prof Hammo alipiga zaid ya dk 40.. na zote ni fire[emoji1787]
Cheka tu ndo nn?
 
Back
Top Bottom